Naomba Kujuzwa

MKONGORO

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
325
263
Wakuu Habarini Za Majukumu! Naombeni Mnijuze Kuhusu Sare Za Majeshi Ya Ulinzi Wa Mipaka Ya Nchi (Defence Forces) Kwanini Sare Za Nchi Zote Zina fanana (Mabaka-baka) Au Ni Moja Ya Sheria Za Umoja Wa Mataifa?
Wakuu Naombeni Elimu Hiyo.
Asante.
 
Iliamuliwa iwe hivyo. Kila mtu angeamua iwe anavyotaka yeye Dunia ingekuwa ni uwanja wa fujo.
 
Wakuu Habarini Za Majukumu! Naombeni Mnijuze Kuhusu Sare Za Majeshi Ya Ulinzi Wa Mipaka Ya Nchi (Defence Forces) Kwanini Sare Za Nchi Zote Zina fanana (Mabaka-baka) Au Ni Moja Ya Sheria Za Umoja Wa Mataifa?
Wakuu Naombeni Elimu Hiyo.
Asante.
Sare ilivyo , ni ngumu kuonekana wakiwa vitani
 
Back
Top Bottom