Naomba kujuzwa waliofanya written interview nhif/

MASHARL

Senior Member
Sep 26, 2012
120
9
Wadau sory kama kuna yoyote mwenye taarifa kama nhif walishaita watu kwa oral interview baada ya writen.
 
watu wameshaitwa na kupangiwa vituo vya kazi leo! but hakukua na oral interview recruitment yao imebase kwenye ileile written interview. it's so sad!
 
UTUMISHI NA TAKUKURU chunguzeni haya mashirika. mtu anaweza akajua kuandika na kujibu kwenye karatasi kumbe ni BUBU. sasa cjui kama ni Public Relation Officers position inakuwaje na oral haikufanyika. maake huyo sio mtaalamu wa maabara kwamba ataandika na Dkt atasoma na kuandika dawa.
 
Mnaulizia Bima ya Afya i.e NHIF? Pale kama huna wa kukushika mkono umekwisha! Mliofanya hiyo Interview mmefanywa migongo ya kupandia wengine.
 
Mnaulizia Bima ya Afya i.e NHIF? Pale kama huna wa kukushika mkono umekwisha! Mliofanya hiyo Interview mmefanywa migongo ya kupandia wengine.

Silly Watanzania tumekua watu wa kulaumu kila kitu,bila kuwa na tangible evidence!
 
Strange watanzania eti huwa anajiita great thinker really????

Nionyeshe post yangu yoyote niliyowai kujiita Great Thinker! Nina rafiki yupo hapo hapo NHIF, yeye ameshaniambia bila memo huwezi kuingia hapo! Na hata mwenyewe ananiambia aliingia kwa memo. Sasa wewe akili zako mgando hutaki kukubali kwa sababu unaona aibu!
 
Back
Top Bottom