Naomba kujuzwa namna ya kupika makange ya kitimoto

Cleym0_619

Member
Jul 18, 2020
27
29
Huwa najiuliza hii nyama ya nguruwe aka PIG au kwa yule pori, Ngiri.. ilikuaje ikapata jina, Kitimoto!
Ni moja kati ya majina yake maarufu.

mkishajibu mnifundishe kupka makange yake..
 
Huwa najiuliza hii nyama ya nguruwe aka PIG au kwa yule pori, Ngiri.. ilikuaje ikapata jina, Kitimoto!
Ni moja kati ya majina yake maarufu.

mkishajibu mnifundishe kupka makange yake..
kitimoto nakumbuka kilikuwa kipindi cha paschal mayala itv miaka ileee, kuwaweka watu kitimoto na jina likatokea humohumo na likakaa vizuri kwelikweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom