Naomba kujuzwa dawa ya kutibu vidonda kwenye ulimi

Mtego tena mkuu
Unaweza kuta hizo vidonda zina maambukizi ya bakteria.

Na panapokuwa pana maambukizi, mwili unazalisha kinga automatically.

Unaweza kwenda kupima ukaambiwa una VVU kumbe ni zile Kinga za mwili ndo zinazoonekana kwenye kipimo.

Ni udanganyifu wa kisayansi. Ukianza kula ARV ndo utajimaliza kabisa

cc Deception
 
Inaonesha upungufy wa vitamin na stress vinasababisha vidonda vya mdomoni.

Ila kwa upande wangu huwa nakula sana matunda ila bado vinatokea, baada ya kujitathimin muda huo nakua na stress.
Pole sana
 
Unaweza kuta hizo vidonda zina maambukizi ya bakteria.

Na panapokuwa pana maambukizi, mwili unazalisha kinga automatically.

Unaweza kwenda kupima ukaambiwa una VVU kumbe ni zile Kinga za mwili ndo zinazoonekana kwenye kipimo.

Ni udanganyifu wa kisayansi. Ukianza kula ARV ndo utajimaliza kabisa

cc Deception
Nimekuelewa mkuu
 
Habari wana jf,

Naomba msaada wa dawa ya kutibu vidonda vimejitokeza kwenye ulimi kwa sasa vina wiki 3 nimetumia dawa ya amplicox nikapata nafuu ila vikarudi tena, vinauma sana ukinywa chai au kitu cha moto hasa asubuhi.
Acha kuzama chumvini, meza Fluconazole 1x1 kwa siku 14
 
Habari wana jf,

Naomba msaada wa dawa ya kutibu vidonda vimejitokeza kwenye ulimi kwa sasa vina wiki 3 nimetumia dawa ya amplicox nikapata nafuu ila vikarudi tena, vinauma sana ukinywa chai au kitu cha moto hasa asubuhi.
Asanteni woote kwa ushauri wenu tatizo limeisha kwa kutumia dawa ya vitamin B complex pamoja na kula machungwa kwa wingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom