Naomba kujua tiba ya tatizo hili

Twaps

Member
May 26, 2011
50
28
Kwenu wana JF,

Nimekua nikitokwa na vipele kama vijipu uchungu kwenye mapaja yangu kwa musimu,yani kinaweza kutokea kipele kimoja au viwili,kikitokea eneo lilipokizunguka panakua pekundu baada ya muda kinapotea kinaacha alama nyeusi,Ninaweza kukaa muda mrefu bila kupata ila ni tatizo linalojirudiarudia.
Kinachonikera zaidi ni hizo alama nyeusi zinazobakia kwenye paja baada ya kipele kutoweka.

Swali langu:
Je hii ni allergy au ugonjwa gani??
Nitumie dawa gani kujitibu??
Nitumie nini kuondoa madoa hayo coz yananikera sana?

Nilishaenda hospital nikapewa cream ya kupaka getrisone cream lakini tatizo linajirudia.

NAHITAJI MSAADA
 
Nenda kapime damu. Kama imeshindikana nitafute nitakupa dawa za asili 0689 417 472
 
Back
Top Bottom