Naomba Kujua kwa anayemfamu Mchungaji John Saimon Omanya

Haya Nayo Yatapita

New Member
Apr 2, 2012
1
1
Naomba Kujua kwa anayemfamu Mchungaji John Saimon Omanya wa kanisa la Cathedral Of Joy lililopo mitaa ya Sinza Shekilango anatuumiwa kutapeli Hela za waumini, Kuvunja Ndoa za wahumini wake na pia inasemekana ni Mshirikina baya zaidi anatembe na Mke wa Muuni na sio huyo pekee tunamjua ameshatembe na wake za watu wengi tu ambao ni waumini wake Kwa anayejua Helimu Yake tunaomba maana anachafua Dini Yetu safi ya Kikristo.
 
unamjua unauliza nini tena? au ulitaka kutuletea ujumbe huu hapa
aya hebu tueleze taratibu sasa
 
huyu lazima kamegewa mke wake,inaonekana uli-type kwa hasira sana hii post yako............
 
Naomba Kujua kwa anayemfamu Mchungaji John Saimon Omanya wa kanisa la Cathedral Of Joy lililopo mitaa ya Sinza Shekilango anatuumiwa kutapeli Hela za waumini, Kuvunja Ndoa za wahumini wake na pia inasemekana ni Mshirikina baya zaidi anatembe na Mke wa Muuni na sio huyo pekee tunamjua ameshatembe na wake za watu wengi tu ambao ni waumini wake Kwa anayejua Helimu Yake tunaomba maana anachafua Dini Yetu safi ya Kikristo.

Si uhame kanisa sasa?Au na wewe unatakaakupitie ndo ujue ni Mchungaji kweli wa Kondoo wa mwili wako?Changanya akili zako weeeee
 
Ni tapeli ambaye kwa sasa anakabiliwa na kesi zaidi ya 4 za utapeli wa fedha pia kwa sasa anatembea na mke wa muumini wake ambaye anafanya kazi TBL!
 
Na ninavyoongea hapa yuko kituoni oysterbay akiwa anaojiwa kuhusiana na tuuma hizo za utapeli!
 
Naamini huyo jamaa nimepata kumskia ana hila hususani kwa wakina mama wasio makini na ndoa zao
 
naomba kujua kwa anayemfamu mchungaji john saimon omanya wa kanisa la cathedral of joy lililopo mitaa ya sinza shekilango anatuumiwa kutapeli hela za waumini, kuvunja ndoa za wahumini wake na pia inasemekana ni mshirikina baya zaidi anatembe na mke wa muuni na sio huyo pekee tunamjua ameshatembe na wake za watu wengi tu ambao ni waumini wake kwa anayejua helimu yake tunaomba maana anachafua dini yetu safi ya kikristo.

kama wewe kweli ni mwamini safi na si agent wakuzimu kwa kujua amakutojua, je ni andiko gani unasimamia kutaka/kusema habari hizi na kwa lengo/kazi gani kimaandiko?
Je wewe hujawahi kuzini, kusema uongo/kutapeli hata uanze kunyosha kidole?
Tukumbuke wote ni wanadamu tuko safarini mbele yetu ipo ama mbingu au jehanamu ya moto. Hakimu wa wote ni mmoja hasiyehitaji msaada toka kwa yeyote na anayeweza kutuokoa na matendo yetu mabaya na kutuhesabia haki ni mmoja naye ni kristu yesu tu!

Naomba Kujua kwa anayemfamu Mchungaji John Saimon Omanya wa kanisa la Cathedral Of Joy lililopo mitaa ya Sinza Shekilango anatuumiwa kutapeli Hela za waumini, Kuvunja Ndoa za wahumini wake na pia inasemekana ni Mshirikina baya zaidi anatembe na Mke wa Muuni na sio huyo pekee tunamjua ameshatembe na wake za watu wengi tu ambao ni waumini wake Kwa anayejua Helimu Yake tunaomba maana anachafua Dini Yetu safi ya Kikristo.
.

1st: Usijali ... jibu unalo kama Username yako inavyosema ...... Haya Nayo Yatapita!

2nd: mimi huwa sipendi watu ambao wamejiunga siku hiyo hiyo alafu post ya kwanza bila ya Salaam wala nini wanaanza kuleta mada ambazo hazina vichwa wala miguu za kujadili watu, majungu, hata kama ni kweli etc!

Kuwa mstaarabu kidogo anza na salaam hata Habari JF,... Hodi! ... enhe alafu ndio unaleta mada yako! .... eeeh vipi bwana?!

.
 
Back
Top Bottom