Naomba kujua bei ya mashine ya max malipo

mashaka sambo

Member
Apr 14, 2015
6
1
Naombeni mwenye kujua bei ya mashine ya max malipo anisaidie niijue, lakini pia nahitaji kujua Kama nikiinunua hiyo mashine itakuwa imeshaunganishwa na huduma mbalimbali Kama tigo pesa, Airtel money, malipo ya umeme, ving'amuzi na huduma nyingine, au napaswa kuunganisha mwenyewe?
 
Bei ni 825000 inaakuwa na package ya Luku Vocha Ving'amuzi. Zingine unasajili mwenyewe
Sawia kabisa.

NYONGEZA
Unapoenda kuomba ule mtambo uwe na vitu vifuatavyo:-
  • Barua yenye picha yako kutoka ofisi serikali ya mitaa
  • Nakala ya TIN
  • Nakala ya leseni ya biashara
  • Nakala ya kitambulisho chochote kinachokubalika kisheria (leseni ya gari, kipigio kura, cha uraia ama pasipoti)
  • Fomu (ambazo utapewa pale pale max malipo
 
Naombeni mwenye kujua bei ya mashine ya max malipo anisaidie niijue, lakini pia nahitaji kujua Kama nikiinunua hiyo mashine itakuwa imeshaunganishwa na huduma mbalimbali Kama tigo pesa, Airtel money, malipo ya umeme, ving'amuzi na huduma nyingine, au napaswa kuunganisha mwenyewe?
Boss jaribu ku google maximalipo kisha Kuna contacts wapigie humu mtandaoni Kuna....... Majambazi hatareeee
 
Back
Top Bottom