Naomba kufahamu kuhusu mashine za kukamulia maziwa ya ng'ombe

kobo

Member
Jun 17, 2014
16
1
kuna mashine zimenunuliwa ni zakituruk bt hazina manual book so nashindwa kuifanya vacuum inyonye maziwa kweny ng`ombe bt inawaka tu vacuum haifanyi kaz so kama mtu mwenye ujuz au namba ya mtu mwenye namba ya atakaye nisaidia plz wanajamvi
 
Back
Top Bottom