Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya Mbuzi

lufungulo k

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
2,550
1,987
Napenda kufahamu jinsi wafanyabiashara wanavyonunua mbuzi toka kwenye minada mbalimbali eneo la Gairo, Kilindi, Handeni , Kilosa na Dodoma.

Kisha kuwasafirishq kupeleka kwenye kiwanda cha Nyama pale Kibaha na malipo yao ikihusisha mchakato mzima.

Kwa kiasi fulani nimejikuta kuvutiwa na biashara hii.
 
Boss mimi nimefanya kazi kwenye hicho kiwanda ,Nina uzoefu WA miaka miwili ,najua A-Z
Ninawajua wanunuzi minada YOTE
Naweza kukuunginisha nao
Pia kukupa dos and don't
 
Boss mimi nimefanya kazi kwenye hicho kiwanda ,Nina uzoefu WA miaka miwili ,najua A-Z
Ninawajua wanunuzi minada YOTE
Naweza kukuunginisha nao
Pia kukupa dos and don't
Ahsante, mkuu basi tunasubiria ufafanuzi
 
Boss mimi nimefanya kazi kwenye hicho kiwanda ,Nina uzoefu WA miaka miwili ,najua A-Z
Ninawajua wanunuzi minada YOTE
Naweza kukuunginisha nao
Pia kukupa dos and don't

Huzo dos and don’ts zimwage humu kwa faida ya wana jukwaa waliopo na wajao,tuache ubinafsi unless unataka umtapeli mleta mada.
 
Hii biashara Kuna Uzi uliandika vizuri sana na Mimi nilitamani kufanya tatizo huko pakupata hao mbuzi maana uliandika urangini ndio Kuna mbuzi wazuri
 
Tafuta jina la Jebel humu if alishawai kupost akaeleza vizuri sana Mimi siwezi kutag
 
Boss mimi nimefanya kazi kwenye hicho kiwanda ,Nina uzoefu WA miaka miwili ,najua A-Z
Ninawajua wanunuzi minada YOTE
Naweza kukuunginisha nao
Pia kukupa dos and don't
Tuelezee boss me nilifanikiwa kwenda mpaka pale kiwandani na nikakutana na afisa manunuzi wa pale
 
Back
Top Bottom