Naomba kazi / Nisaidie kupata kazi

kewonaai

New Member
Jan 21, 2023
1
0
Heshima yenu wanajf.
Pole na majukumu.
Niende moja kwa moja kwenye lengo la andiko hili.
Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaki 25.

Naomba mwenye kazi yeyote ambayo form four anaweza kuifanya anisaidie na hakika nitaifanya kwa moyo.

Kwa taaluma yangu.. Naweza kufanya kazi kufundisha basic mathematics na chemistry kwa ordinary level au mathematics na science kwa primary english medium(upper classes), nina ujuzi wa IT kwa kiasi fulani.

lakini sichagui kazi hivyo mwenye uwezo wa kunisaidia kati yenu anisaidie.

Mimi napatikana arusha ila kazi naweza kufanya popote.

naweza piah kujitolea kwa muda huku utendaji wangu wa kazi ukiona na kuamua kuniajiri ama vinginevyo ila nipate malazi na chakula.

Naomba kuwasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom