naomaba ufafanuzi wa huu msamiat......

Smarty

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
776
426
wengi tunajua kuwa manaeno mengi ya kiswahili yametokana na lugha ya kiarabu kwa mfano neno BINADAMU limetokana na neno BIN-ADAM. ikiwa na maana ya mtoto wa adam wa kiume... sasa swali langu ni hivi kwa nini na wanawake nao wanaitwa BIN ADAMU?? kwa nini wasiitwe BINT ADAMU??
 
1-ukitohoa katika lugha sio lazima uchukue / utamke neno kama lilivyo katika lugha hiyo.

2- kiarabu kina sifa za kike na kiume , kina umoja uwili na wingi ( lugha nyingi zina umoja na wingi tu,hazina uwili) katika kiswahili hakuna sifa za kike wa kuime ndio maana hatutumii bint adam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom