Nani waliokuwa nyuma ya adhabu Kali ya Babu Seya na Mwanae Papii Kocha?

omtiti

JF-Expert Member
Jun 19, 2019
1,022
1,590
Nakumbuka wakati tuhuma na hatimae kesi iliowahusu Babu Seya na Mwanae Papii kocha, ilisemekana kesi yao ilikua ni ya kutengenezwa(uonevu),na baadhi ya raia walilalamika Sana, hata hivyo walipigwa (life sentence imprisonment) ,kifungo cha maisha.
Katika watu wenye vyanzo vingi vya kupata habari ni rais wa nchi.

Rais Magufuli aliposamehe wafungwa hapo siku zilizopita, aliwasamehe pia Babu Seya na mwanae Papii Kocha ,na kosa ambalo liliwatia hatiani kina Babu Seya, ukiliangalia ni kama halikustahili msamaha. Japo rais ndio mwenye mamlaka ya kila kitu nchini kwa mujibu wa katiba (final say).
Rais Magufuli naamini kabla ya kuwaachia alijiridhisha pasi na Shaka kuhusu kesi ya Babu Seya.
Nani waliokua nyuma ya dhulma waliotendewa hawa raia, kiasi imefanya wapotee katika fani ya muziki wa Rhumba ya kikongo ilioimbwa kwa kiswahili na kubamba watanzania wengi Sana ?
Na wako wapi kwa sasa,?mbona hawasikiki?. anaejua taarifa zahawa watu tujuzane
 
Ni Rais mstaafu Kikwete ambaye aliuza gesi yetuna kila siku anapokea mgao wa shillingi zaidi ya million 450 na atapokea hivi kila siku baada yamiaka18ijayo.

Alikuwa radhi Magufuli awe Rais kuliko Lowasa kwa sababu Lowasa angemnyoosha
Mtu kama wewe kuna shida gani jf wakiuza taarifa zako kwa Serikali ili tuhuma zako ukathibitishe mbele ya vyombo vya dola?
 
Nakumbuka wakati tuhuma na hatimae kesi iliowahusu Babu Seya na Mwanae Papii kocha, ilisemekana kesi yao ilikua ni ya kutengeneza(uonevu),na baadhi ya raia walilalamika Sana, hata hivyo walipigwa (life sentence imprisonment) ,kifungo cha maisha.
Katika watu wenye vyanzo vingi vya kupata habari ni rais wa nchi.

Rais Magufuli aliposamehe wafungwa hapo siku zilizopita, aliwasamehe pia Babu Seya na mwanae Papii Kocha ,na kosa ambalo liliwatia hatiani kina Babu Seya, ukiliangalia ni kama halikustahili msamaha. Japo rais ndio mwenye mamlaka ya kila kitu nchini kwa mujibu wa katiba (final say).
Rais Magufuli naamini kabla ya kuwaachia alijiridhisha pasi na Shaka kuhusu kesi ya Babu Seya.
Nani waliokua nyuma ya dhulma waliotendewa hawa raia, kiasi imefanya wapotee katika fani ya muziki wa Rhumba ya kikongo ilioimbwa kwa kiswahili na kubamba watanzania wengi Sana ?
Na wako wapi kwa sasa,?mbona hawasikiki?. anaejua taarifa zahawa watu tujuzane
Outdated
 
Mtu kama wewe kuna shida gani jf wakiuza taarifa zako kwa Serikali ili tuhuma zako ukathibitishe mbele ya vyombo vya dola?
JF kila mtu mjuaji na TISS au anataarifa nyeti toka serikalini. Huyo jamaa ukimwita aelezee hayo utaona anavyotoa macho. Taarifa kama hiyo wakija wale wa Serengeti wakaipa promo wanaiita taarifa ya kweli.Kesho uzi wowote unakuta mtu anakuja na reference kama hiyo.Humu ndani kuna watu wa ovyo kuliko ovyo yenyewe.
 
..mahakama ya rufaa iliwakuta Babu Seya na Papii wana hatia.

..anayeunga mkono Babu Seya na Papii kutolewa kifungoni anaunga mkono ushoga, na watu wazima kulawiti watoto wadogo.
Lowasa alisema atawatoa akina babu seya na kushangiliwa na bavicha pale jangwani. Je Lowasa na bavicha WANAUNGA mkono USHOGA?
 
..mahakama ya rufaa iliwakuta Babu Seya na Papii wana hatia.

..anayeunga mkono Babu Seya na Papii kutolewa kifungoni anaunga mkono ushoga, na watu wazima kulawiti watoto wadogo.
Siwezi kushangaa kuwa wanaunga mkono ushoga, kwani kuna tetesi kuwa hawa wanaoteka watu (ambao wanaaminika wana mahusiano na serikali) wana tabia ya kuwalawiti mateka huku wakipiga picha kama onto kuwa ukisema yetu nawe tunatoa picha hadharani.
Ni watu wenye unyama na ni mashoga
 
Back
Top Bottom