Nani tena anabisha kuwa Lema hana hadhi ya kitaifa?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Kumekuwa na wapuuzi wengi sana wanapiga kelele sijui Lema hajasoma,sijui lema anawashabiki wanywa viroba, sijui nini na nini..sijui lema hamfikii kilaza gani ambaye eti napiga siasa za kisayansi hadi yeye mwenyewe hawezi zielewa..

Lema kapita ktk majimbo kibao nchini,yakiwepo ya wapinzani na wambea wa CCM na wale wa CDM wenye shida na chama,na kafunika vilevile.Sasa ni zamu yao waende kwake.

Nigependa jua nani tena kabaki na umbea kuwa Lema mwisho wake ni Arusha?
 
Aisee, amejinga visima vingapi? Kama kuwa Mbunge mzuri ni kuongea then ...?Jimbo la Mwanga mkoa wa Kilimanjaro wasingefurahia kazi nzuri ya Mbunge wap wa miaka mingi C.D. Msuya!
 
Akili mali !!!! mbele ya wanaume wanaotegemewa na familia zao,huwezi kumta Lema!!!!!
 
Kwahiyo ulimwona Lema tu wengine hukuwaona?Duh Jamaa hamuwezi kabisa kujificha....You are always rearing your ugly heads!
 
wanasiasa jamii ya lema washukuru chadema, kama si chadema sidhani kama wangepata nafasi katika chama chochote makini nchi hii

We ni Kilaza wa Historia. Lema aligombea ubunge akashinda kwa tiketi ya TLP mwaka 2005 ila akapokonywa ushindi kwa hila. Lema akahamia CHADEMA kugombea Arusha na JK akawaita Dar ili kumshawishi agombee na CCM akakataa. Hiyo ndo profile fupi ya siasa ya Lema in case you didn't know!!!!
 
wanasiasa jamii ya lema washukuru chadema, kama si chadema sidhani kama wangepata nafasi katika chama chochote makini nchi hii

haha.....Mtaumia sana km hizi ndizo fikra zenu...Lema atavunja kila kauli yenu.Kwa ujumla jamaa ni Great..kafunika ktk majimboy a critics wake wote....pengine wameshindwa kua update kwani hiyo inauma sana.Mwambie hata JK nae aubiri Lema atue bagamoyo.
 
Aisee, amejinga visima vingapi? Kama kuwa Mbunge mzuri ni kuongea then ...?Jimbo la Mwanga mkoa wa Kilimanjaro wasingefurahia kazi nzuri ya Mbunge wap wa miaka mingi C.D. Msuya!

hahaa....arusha hawahitaji sana hivyo visima....na maji ya Arusha si kila sehemu ni salama.a
 
Akili mali !!!! mbele ya wanaume wanaotegemewa na familia zao,huwezi kumta Lema!!!!!

Naona mnajituma sana kuonyesha jinsi mlivyo concerned naye....temper temper .....Lema ni machine ingine,Lema na msela wake mawazo, cha kwanza walichofanya ni kupandikiza mamluki ktk siasa za CCM Arusha.

Lema ana control na madiwani wengi tuu wa CCM, ana control na wana CCM wengi tuu pale arusha.Sasa unamwita mdogo.

Lema anatagemewa na si Familia yake tuu,hata wapiga kura wake na wanaCDM nchi nzima ,pamoja na maccm na achumia tumbo km wewe...ili nchi iende.Kwa bahati mbaya sana familia ya Lema imejengwa kuendelea na maisha hata Lema akiuwawa.Lema haleei mategemezi ili apate sifa za kijinga
 
kumekuwa na wapuuzi wengi sana wanapiga kelele sijui lema hajasoma,sijui lema anawashabiki wanywa viroba, sijui nini na nini..sijui lema hamfikii kilaza gani ambaye eti napiga siasa za kisayansi hadi yeye mwenyewe hawezi zielewa..

Lema kapita ktk majimbo kibao nchini,yakiwepo ya wapinzani na wambea wa ccm na wale wa cdm wenye shida na chama,na kafunika vilevile.sasa ni zamu yao waende kwake.

Nigependa jua nani tena kabaki na umbea kuwa lema mwisho wake ni arusha?

bange ;-(
 
mleta mada umekunywa viroba vingi mno. sio vizuri kabisa hivyo. kwa hiyo kuuza sura nje ya arusha ndio tayari ameshakuwa wa kitaifa?? poor you
 
wanasiasa jamii ya lema washukuru chadema, kama si chadema sidhani kama wangepata nafasi katika chama chochote makini nchi hii

Turudi upande wa pili kwa hii kauli yako BILA CCM hawa wafuatao wangekuwa wapi? LUKUVI, LAMECK AIRO (LAKAIRO), MAJI MAREFU, JOHN KOMBA. tatizo huwa mnaandika bila kutumia akili kumbe mifano yote huwa inawageukia wenyewe.
 
Aisee, amejinga visima vingapi? Kama kuwa Mbunge mzuri ni kuongea then ...?Jimbo la Mwanga mkoa wa Kilimanjaro wasingefurahia kazi nzuri ya Mbunge wap wa miaka mingi C.D. Msuya!

Ivi kumbe kazi ya mmbunge ni kujenga visima vya maji???????? Asalaaaaleeeee......we have a very long journey to go....Ivi kuna mmbunge anayekusanya kodi?? Sasa serikali ya nini kama mmbunge atajenga visima vya maji????. Kasheshe...ONLY IN TANZANIA FOR TANZANIANS!
 
Last edited by a moderator:
acerbicarushan-103.blogspot.com/lema afanyiwa kitu mbaya

Inakuuma sana.....eh....Umbea huu mmetumia nguvu nyingi sana.Wapi bado unaendelea na bishara kichaa..ndio maana waswahili hamfanikiwi ktk bishara.Mnauza vitu visivyo na wateja...bila kuchoka,wala kubadili mbinu.
 
Back
Top Bottom