Nani ni hatari: FISADI au SHOGA kwa maisha ya Mtanzania

mazoo

JF-Expert Member
Mar 15, 2013
215
41
Jamii iko tayari kuwahakumu mashoga./wasagaji (whatever you call them) kwa matendo yao.
Binafsi i dont care mambo yao! Ni life style yao.

Jamii yetu inawahusudu wale wanaoiibia serikali.Billions ziko Uswisi & Uarabuni hata Sauzi.

Vitanda vya hopitali,shule ngapi zingejengwa na pesa hizi za EPA,Meremeta etc
 
swali la kifala kabisa ni sawa na kuuliza kufa njaa au kufa masikini ipi inasikitisha zaidi??!!
jibu la swali lako ni kuwa yote hayo ni majanga mazito kwa taifa letu
 
Back
Top Bottom