mpemba mbishi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,132
- 186
Mwanamke aliyelala na mumewe akawa anaota ghafla akapiga kelele "Jifiche mume wangu kaja" au mumewe aliyesikia hivyo akanyakua nguo na kukimbia akidhani amelala na mke wa mtu,..!
Mwanamke ndiye mwenye matatizo ya kutembea/kutoka nje ya ndoa yao.