Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 914
- 4,264
Wanasiasa wanaoweza kupambana na mgombea wa CCM 2025 ni wawili tu kwa sasa. Freeman Mbowe na Tundu Lissu
Yupi kati ya hawa ataleta ushindani chanya?
Yupi kati ya hawa ataleta ushindani chanya?
Labda wamuweke Mwabukusi!Wanasiasa wanaoweza kupambana na mgombea wa CCM 2025 ni wawili tu kwa sasa. Freeman Mbowe na Tundu Lissu
Yupi kati ya hawa ataleta ushindani chanya?
Sauti ya zege. 😂 😂Hao wote waliwahi kugombea na waligaragazwa vibaya mno so hawana mvuto tena, chadema anayeweza kumpa jambajamba dk Samia hapo 2025 ni halima mdee pekee!!
Tanzania hakuna uchaguzi, bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu kwenye box la kura.Wanasiasa wanaoweza kupambana na mgombea wa CCM 2025 ni wawili tu kwa sasa. Freeman Mbowe na Tundu Lissu
Yupi kati ya hawa ataleta ushindani chanya?
Huna akili wewe huyo mumeo halima mdee ni mccmHao wote waliwahi kugombea na waligaragazwa vibaya mno so hawana mvuto tena, chadema anayeweza kumpa jambajamba dk Samia hapo 2025 ni halima mdee pekee!!
Ingawaje ni kupoteza muda tu maana hawatatangazwa, mgombea anayefaa sasa hivi kwa CHADEMA ni John John Mnyika na mwenza wake awe Salim Mwalim!Wanasiasa wanaoweza kupambana na mgombea wa CCM 2025 ni wawili tu kwa sasa. Freeman Mbowe na Tundu Lissu
Yupi kati ya hawa ataleta ushindani chanya?
Mnyika hanaga mvuto, mpayukaji sanaIngawaje ni kupoteza muda tu maana hawatatangazwa, mgombea anayefaa sasa hivi kwa CHADEMA ni John John Mnyika na mwenza wake awe Salim Mwalim!
Huwezi kumlinganisha na Lissu!Mnyika hanaga mvuto, mpayukaji sana
SAsa Lissu ccm mtampenda wakati anawapiga mspana za kichwa?Huwezi kumlinganisha na Lissu!
Wanavizia mtu atakayejitoa CCM kwa kukatwa kama Luhaga Mpina ili wapate nguvu ya sukuma Gang!Wanasiasa wanaoweza kupambana na mgombea wa CCM 2025 ni wawili tu kwa sasa. Freeman Mbowe na Tundu Lissu
Yupi kati ya hawa ataleta ushindani chanya?
Je ni tetesi au mwenyewe kathibitisha.?Kamati kuu itaamua lakini Mbowe hatagombea, ataenda Hai kuchukua ubunge wake
HecheSAsa Lissu ccm mtampenda wakati anawapiga mspana za kichwa?
Kwasasa Lissu ndiye roho ya cdm
Dogo Acha kutukana hovyo halima mdee ni mwanachama halali wa chadema na ni mbunge wa viti maalum akiwaikilisha vyema chadema mule bungeni.Huna akili wewe huyo mumeo halima mdee ni mccm