Nani kiungo bora kati ya Max Nzengeli na Feisal Salum

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Tuongee ukweli sote tunajua Feisal ndo kiungo namba moja mzawa Kwa ubora nchi hii, na kiungo wa nje ya nchi Bora wako wengi.

Tupo kijiweni tunajaribu kuangalia nani mkali hasa kati safi ya kiungo kati ya Max Nzengeli na Feisal Salum.

Nani ana uwezo mkubwa kuliko mwenzake. Hatumuongelei Chama Bali ni Feisal dhidi ya Max.

Toeni maoni tumalize hii inshu.
 
Acha kumfananisha mchezaji mwenye mapafu ya mbwa na midwebedo Kama feisal!! Feisal ni local player asee!.
 
Kwa alichowafanya Fei Yanga atapopolewa tu na mashabiki.
 
Back
Top Bottom