Nani katulaani watanzania tunasikia lakini hatuelewe

mageuzi1992

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
2,503
252
Laana ni kitu kibaya sana. Mtu anapolaaniwa hufanya mambobila kufikiri kuwa ni yeye anafanya!
Wakati mwingine laana humfanya mtu aonekane kama taahira ama kichaa!!!,
nasema hivyo kwa kuwa watanzania wengi tumekuwa ama kama mataahira au vichaa wasioelewa kitu. Mtu unaona maisha yanavyokuwa magumu unaambia shida ni ccm lakini huelewe!!! Mtu anatangazwa, kabisa ni fisadi tena ndie anaye sababisha maisha magumu kwa lakini wewe bado unamfagilia!?
Mtanzania unalia uchumi umekuwa mgumu wakati mafisadi wanadunda!!! Umeme umepanda unaambiwa ni gharama za kuendesha mitambo wewe unakubali lakini hujiulizi deni la dowans lililokuwa linapigiwa debe lilipwe limekwenda wapi?
 
Tanzania bra bra nyingi, bila kuachana na hiki chama cha kupindua maendeleo tuyasahau. Angalieni kwa wenzetu wakenya walipoipiga chini KANU sasa uchumi wao unapaa na miundo mbinu ya barabara sasa safi (flyovers sio hadithi tena).
 
Back
Top Bottom