Nani hasa mwenye asili ya zanzibar?

kukumdogo

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
2,866
2,746
Baada ya kufanya utafiti nimegundua hakuna hata mmoja anaeishi zanziba saivi mwenye asili ya znz. Hii ni baada ya kuhoji wazee wa kila wilaya ya zanzibar. 60% wana asili ya Tabora, 25% ni watu wa kigoma, 5% wamakonde na wamawia, 3% waarabu, 3% watu wa morogoro% 2% wa tu wa ulaya na 2% mataifa mengine. Kwa asiye amini arudie utafiti huu kwa kutumia njia tofauti na yangu maana mie ilikuwa ni mahojiano. Nawasilisha uelimisha watu zaidi.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ni kweli kabisa,juzi tulikua tunabishana na wazanzibari eti hawataki kusikia kama wao ni wanyamwezi
 
Baada ya kufanya utafiti nimegundua hakuna hata mmoja anaeishi zanziba saivi mwenye asili ya znz. Hii ni baada ya kuhoji wazee wa kila wilaya ya zanzibar. 60% wana asili ya Tabora, 25% ni watu wa kigoma, 5% wamakonde na wamawia, 3% waarabu, 3% watu wa morogoro% 2% wa tu wa ulaya na 2% mataifa mengine. Kwa asiye amini arudie utafiti huu kwa kutumia njia tofauti na yangu maana mie ilikuwa ni mahojiano. Nawasilisha uelimisha watu zaidi.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Hiyo 3% iliyochanganyikana UAMSHO na MAGAIDI ndio inayosumbua na kujiita wazanzibar. Kwa sasa pale ndo home of terrorists wapo dormant maana music wa JWTZ wanaujua
 
Unaendelea ujue Kama ni nani mzawa wa Dar au Tanganyika! Wangoni watapenda kufananishwa na wazulu?
 
Hii unaweza kufanya wewe haina tatizo then tuletee data hapa!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom