ISSA SHARAFI
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 407
- 75
Ikiwa draw ya clab bingwa ulaya imepangwa leo....iko hv Buyern v Real Madrid na Chelsea v Atletico Madrid......Je unafikiri timu gani itaibuka kuwa bingwa kati ya hizo.
ChelseaIkiwa draw ya clab bingwa ulaya imepangwa leo....iko hv Buyern v Real Madrid na Chelsea v Atletico Madrid......Je unafikiri timu gani itaibuka kuwa bingwa kati ya hizo.
Musikasirike ila kama ningekuwa mtabiri ningewambia watu atletico madrid mwaka waoKamuulize tb joshua
Sentensi mbona ina UTATA
Chelsea tupo vizuri nyie
R madridA madrid au R madrid.
funguka mkuu.
Chelsea