Nani atumike kuzuia mafuriko

Mafuriko haya hayazuiliki kwa mkono, jembe, greda wala ukuta, yeyote anayejipendekeza atasombwa na maji.

Hapa mumtumie Slaa, Mbowe, sijui nanii, endeleeni kuwapanga. Lowassa awe fisadi, kibaka, mwizi, mgonjwa, nk .

SISI MALOFA HATUWAELEWI MAANA UPUMBAVU WETU UPO KIWANGO CHA JUU SANA.

"SISI MALOFA HATUWAELEWI MAANA UPUMBAVU WETU UPO KIWANGO CHA JUU SANA".

Nimecheka sana
 
Najisikia furaha saaanaaa kila nikiona post inayohusu ukawa. Kila nikisoma coment % kubwa wanamsapot Lowassa....

Ishu ilotokea juzi na dk Slaa ilitaka kunikatisha tamaa, ila nilipokuja huku Jf bas matumaini yalirud na nikabaki naamini kuwa huu kwel mwaka wa mabadiliko.

CCM lazima watoke2, maana hakuna namna nyingine tena...

Kila wanalolifanya linafel wakiwa hawajaambulia hata robo ya malengo yako...

Hii kwel ni kufa kwa nyaniii.....

UKAWA OYEEEEEEEEE
 
CCM wanapigwa ngumi nzitonzito mpaka wanadhani wamepigwa na chuma kumbe ni ngumi mzee Ukawa ni balaa.
 
KWELI MPO KWENYE UBORA WENU!
MAFURIKO hayazuiliwi kwa mkono...... bali kwa mtaro unaochimbwa na TINGA TINGA!
 
Mafuriko haya hayazuiliki kwa mkono, jembe, greda wala ukuta, yeyote anayejipendekeza atasombwa na maji.

Hapa mumtumie Slaa, Mbowe, sijui nanii, endeleeni kuwapanga. Lowassa awe fisadi, kibaka, mwizi, mgonjwa, nk .

SISI MALOFA HATUWAELEWI MAANA UPUMBAVU WETU UPO KIWANGO CHA JUU SANA.

Namna pekee ya kuzuia mafuriko haya ni kumrudisha Lowasa CCM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom