Nani anaweza kututhibitishia kuwa kuna bilioni 4 zilitengwa kwa ajili ya sherehe za Uhuru mwaka huu?

Media stunts tu hizi . maana haiwezekani kubadilisha matumizi ya pesa zilizoshatengwa na Bunge .mamlaka kayatoa wapi ? Au dio yuko juu ya sheria ?
Mkuu hufahamu kwamba ufisadi huanzia kwenye bajeti?
 
Wizara ya ujenzi ndio inahusika kugharamia sherehe za uhuru?

Fedha zikiwa hazina zinaweza kutumika popote provided kipo kwenye budget. Ni suala la priorities kama mafungu hayawezi kukidhi kila kitu. Kupanga ni kuchagua.

Kipaumbele cha cha Kikwete labda ingekuwa sherehe za Uhuru. Kwa Magufuli ni barabara.
 
Kwa tunaofuatilia comments zako hatukushangai. Keep on asking stupid questions buddy.

Nyie msitufunge mdomo mradi wa barabara ya Morocco mwenge ni wa muda mrefu yapata miaka mnne sasa inawezekana kabisa hizo hela zilitengwa muda tu but kwasababu serikali haina hela wakahamua kutuaminisha kupitia huko
 
Sasa ndo mjue jinsi nchi hii ilivyokuwa imekosa vipaumbele vya kibajeti.....unashtuka kuhusu sherehe hebu uliza kadi na miti ya krismas yangegarimu kiasi gani.
 
Naomba mwenye uthibitisho unaombatana na maelezo ya kutosha atuwekee hapa.

Vile vile ningependa kujua tu mwaka jana zilitumika kiasi gani kwa shughuli kama hii na kwanini mwaka huu iwe bilioni 4 na sio bilioni 5 au 3 au vinginevyo.

Na kama kuna wazalendo walijitolea kuchangia sherehe hizi basi ni vizuri nao tukawajua.

CAG, sisi wananchi tunasubiri ripoti yako itakayosomwa Bungeni.

Kama ndio ule msemo wa "the end justifies the means" hata serikalini, basi sawa.

Jukumu la kutafuta na kuthibitisha habari/taarifa ni lako. Ukitaka kuwa wa kupewa taarifa utakuja potoshwa.
 
Subiri ripoti ya CAG sasa. Mbona una kiherehere. Hivi huwezi kutulia tu bila kuwashwa na kuanzisha tu topic mpya kila saa!? You annoy people if u continue with this behaviour. YOU HAVE TO STOP!
Do you have to read his posts? Kila post inakuwa na jina la mwanzishaji. Kama posts za Salary Slip zinaku-annoy, zipotezee..waache wenye nafasi na interest waendelee kusoma na kuchangia.
 
Last edited by a moderator:
Do you have to read his posts? Kila post inakuwa na jina la mwanzishaji. Kama posts za Salary Slip zinaku-annoy, zipotezee..waache wenye nafasi na interest waendelee kusoma na kuchangia.

Mkuu,umemjibu vizuri sana.

Ubarikiwe.
 
Last edited by a moderator:
Do you have to read his posts? Kila post inakuwa na jina la mwanzishaji. Kama posts za Salary Slip zinaku-annoy, zipotezee..waache wenye nafasi na interest waendelee kusoma na kuchangia.

Unatafuta bwana s.ho ga wewe?
 
Last edited by a moderator:
ImageUploadedByJamiiForums1448987271.036244.jpg
 
Back
Top Bottom