Nani anawasikiliza au hata kuwatetea madaktari wetu??

mwanakazi

Member
Apr 10, 2011
68
37
"Hivi ni kweli kwamba hii issue ya madaktari haina public attention kiivyo au ni mchezo mchafu wa media zetu,kwani kuna habari vituo vikubwa wanaripoti za kitoto kweli hata hazina umuhimu ila suala la mkutano wa madaktari kimya, at least star TV leo wamegusia, ila TBC, ITV kimya, ikumbukwe ndio vituo vyenye coverage kubwa, any way we all know our local media walivyo .

Lingine ni wakosoaji wakubwa wa serikali,kuna social groups nyingi tu kama likitokea lolote ambalo serikali imefanya si sawa wanatokeza idara ya habari pale wanatoa matamko ya kulaani,Activist ,Political party i mean vyama vyote tumewasikia wanapiga kelele nauli ya sh 100 ya kivuko kuongezwa, umeme kupanda nk, Opposition maarufu kama kambi ya upinzani tena kuna mpaka mtu anaitwa waziri kivuli wa afya,na nimedokezwa nae ni mwnataaluma wa udaktari,what are they for?au just posho na qouram ya vikao?camoon ,cant they say any thing on this issue? Au mpaka wagome waanze kulaani kuwa madokta hawana wito?

I am in a position now not to believe in any politics of this country,only wanasiasa kutoka kambi yoyote (ruling &opposition)wanaunga mkono mambo yenye maslahi kwao kisiasa,huu ni upuuzi i am not beging for political support what i am saying is why are we alone kwenye hili wakati tunawahudumia makundi yote ya kijamii?
makundi ya wanaharakati wao wanajua tu katiba mpya na EPA?

Kitendo cha kuawafukuza madaktari wanaodai haki yao sio suala la haki za binadamu? pia kuna vyama vya wafanya kazi dr's ni wanachama na they are paying their contribution monthly through unjust duduction from their litle salary ,viongozi hawaapo au,mbona kimya,TUGHE ,TALGU, madaktari ni member kutokana na ajira zao(central and local gvnmt respectively) but wapo kimya kama vile sio wanachama wao ,even tamko la kulaani latosha.

Kuendelea kusema udaktari ni wito wakati principle za economics zinasema huduma za afya ni Goods and services which is part of investment na inachangia pato la Taifa for me this is next to impossible!"
.....................................................MWISHO WA KUNUKUU..........................................
Hicho ni kilio kutoka kwa mtu ninayemjua, ni dr.

Wanasiasa wenye mapenzi mema na nchi yetu msiwe wasaliti katika hili! msiwasaliti watanzania msiwasaliti madaktari wetu.

 
Hawapo na hatakuwapo.......kama wananchi wameshindwa kujua haki yao ya kupata huduma za afya kutokana na kodi wanazilipa ambalo ni jukumu la serikali hawataki kusikia

Watu wanataka kusikia Dr.Slaa kampa mkono kikwete sijui hili ndiyo suluhisho la matatizo yetu.Watu wanajiita wanaharakati na watetezi wa haki sijui ni haki pale uchaguzi unapokiuka misingi tu ila hili la mtu kudai ujira kutokana na jasho lake siyo haki.

Madaktari wamepewa mgongo na wenyewe sijui wanasubiri nini kugoma, acheni tu litakalotokea kwa wagonjwa maana nyie mtakuwahamjaanza kama hospitali CT SCAN ni issue, madawa ni issue, vifaa vya upasuaji ni issue wangapi walisha kufa mpaka leo kama wenye jukumu la kuhakikisha watanzania wanapata huduma zinazostahili wanakimbilia india.
 

Mods naomba post hii iunganishwe na ile niliyopost jana kama mtaona inafaa kwani zina maudhui sawa na kilio ni kilekile
 
I concur, we have a problem of trivializing isuues. Jambo kubwa tunaliona dogo na jamo dogo tunaliona kubwa. Mfano ulotolewa wa media coverage ya suala la Rais kutoshikana mkono na Dkt. Slaa ni kielelezo halisi cha tatizo hili.
 
Mi nawashangaa hawa madaktari kwanini msifanye kama wa kenya naona kama mnataka kutishia tu si mfanye kweli.
 
Back
Top Bottom