Nani anasema Lissu anaichafua nchi?

Hahahaha pole yako maana mkiambiwa ninyi ni wavivu wa kufikiri huwa mnacharuka sana kumbe ni ukweli ulio wazi

Huwezi kuleta mabishano ya hoja juu ya Uzi huu ikiwa hata hujausoma wote, ndio maana wakati mwingine huwa mnapinga msichokijua
Mimi nimesoma aya ya kwanza na ina upotoshaji na nilichohoji hakuna bavicha wa kujibu, huo uvivu wa kufikiri unatoka wapi?Critical thinker anauwezo mkubwa wa scanning and skimming.Huoni wewe ndio unakarr na unasoma kama kasuku na kichwa chako ni kizito?Kweli aya namba mbili unaona iko sawa?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Kuna raia wa Tanzania wamegeuzwa mateka kwenye nchi yao wenyewe. Mkurugenzi wa TWAWEZA, kwa mfano, kanyang'anywa paspoti hawezi kusafiri nje kwa kuendesha poll tu na kusema umaarufu wa Jiwe umeporomoka just imagine. We real need Lissu at this very high time!

Watu wanatekwa,
Wanauawa,
Wanapotezwa,
Wanabambikizwa unbaillable offences,
Majaji wanakimbia walalamikaji,
1.5 T zimekombwa,
Uchumi uchumi uchumi,
Hakuna uhuru wa habari, siasa, kukusanyika,

Kwa sasa tunahitaji sapoti ya mabeberu kuliko mateso ya huyu mzalendo.

Let Lissu get us helped!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akuzidishie maisha marefu. Hakika umeinena iliyo kweli. Wacha mazwazwa wachafuane wao kwa wao
 
Propaganda kutoka Ufipa. Erythrocyte alikuja na Desa lake la LISU kuhutubia UN 23 January. Nyumb****walikata mauno sana humu ndani na kuna baadhi ya vijiwe huko mtaani story zilikua hizo.23 Jan imepita hakuna hata nyumb ******* aliyehoji kamanda lisu vipi huko UN?Leo wameletewa desa na Malisa kuhusu Mkutano mwez September hao tena wameanza kuzungusha viuno. Washasahau kuwa kuna habari kama Hii nyuma kidogo na hakuna feedback. HAWA WATU UKIWAITA NYUMB***** UNA MAKOSA?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Mavi ya kuku.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beware of this egocentric monster!

Anyone who would vehemently undercut the greatness of his own country on the pretext of anything must be a traitor of the highest order. Only the likes of Jonas Savimbi would do this. Patriots never put their interests ahead of their country’s!
 
Hat
Propaganda kutoka Ufipa. Erythrocyte alikuja na Desa lake la LISU kuhutubia UN 23 January. Nyumb****walikata mauno sana humu ndani na kuna baadhi ya vijiwe huko mtaani story zilikua hizo.23 Jan imepita hakuna hata nyumb ******* aliyehoji kamanda lisu vipi huko UN?Leo wameletewa desa na Malisa kuhusu Mkutano mwez September hao tena wameanza kuzungusha viuno. Washasahau kuwa kuna habari kama Hii nyuma kidogo na hakuna feedback. HAWA WATU UKIWAITA NYUMB***** UNA MAKOSA?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Hata asipolihutubia lakini tayari Tundu keshapenyeza sumu. Huu ni mpango wa Mungu aweza kutoa picha halisi manake akiyatoa pale bungeni yupo spika anayemzidi Mungu kwa mamlaka
 
Back
Top Bottom