Nani aliyekuonesha mapenzi haujaweza unamkumbuka hadi leo?

Utajua ujui

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
249
832
Hello.

mtu aliyekupenda sana na kukuonyesha upendo wa kimapenzi wa dhati sana unamkumbuka Katika maisha.

Leo hii huko kwa ndoa,mahusiano,uchumba,urafiki ila kila siku unamuwaza yeye na Hajaweza kuondoka kwenye circle yako na unajua hautaweza kurudiana nae au Kuwa nae karibu umbali ,mazingira,kaolewa ,mligombana.

To you my B kokote uliko nakukumbuka upendo wangu kwako ulionipa umenivuruga najua ulienda abroad kusoma ikaisha hivyo

Nimepambana kurudisha upendo wa a wali haijawa hivyo.

Nakukumbuka ,nakupenda
 
Mwanangu kuna mtoto mmoja wa kimakonde...ngoma inabana mwanzo mwisho...yaani iko kama ina kamkono kwa ndani...duuh....🤪😜🤪😜
 
Back
Top Bottom