Nani ahame CCM kati ya Kikwete au Makamba?

backer

Member
Dec 22, 2010
86
8
MAKAMBA:; Anayepinga malipo ya DOWANS ruksa kuhama chama cha mapinduzi CCM
KIKWETE:; Mimi siitambui DOWANS na ninapinga malipo ya DOWANS..........:msela:

sasa hii ina maana gani? na tunapata picha ya namna gani kutoka kwa hawa viongozi wa ngazi za juu kabisa wa chama cha mapinduzi, ambacho pia ndicho chama tawala nchini? je kikwete anatakiwa kukihama chama au makamba a-step down kwa kumdhalilisha mwenyekiti wake? na kama ikiwa wote ni wahuni just confusing innocent people sababu wanjua kila kitu?...........:bump::bump:
 
teh teh. Wabongo watamu kuwayeyusha. mdogo mdogo tu tunawavuruga akili mpaka wasahau. mara katiba, dowans, richmund, katiba, udini, mkukuta, .............
 
wote ni vichwa vya panzi ccm, they cannot remember what they said last time this very serious issuse. in wepesi wakusahau mambo.
 
Buying time of course; both are the same, they may seem to contradict each other, but they just give reason for people to have issues to discussion each day...and time goes on watu wakiendelea kujirusha.....
 
wote ni vichwa vya panzi ccm, they cannot remember what they said last time this very serious issuse. in wepesi wakusahau mambo.
huwezi kumwita rais kichwa panzi wakati aliwashinda wenzake 2005 ndani ya CCM

AHAME MAKAMBA ILI KUKINUSURU CHAMA.
Nimekuwa mwana ccm mzuri ila simkubali kabisa MAKAMBA kwani amekidhalilisha chama mara kadhaa kwa kauli zake.Mnyonge mnyongeni ila haki mpeni.

NAAPAA NAAHIDI MBEE YA CHAMA MAPINDUZI NI CHA KULINDA MPAKA KUFA
 
Ni bora Mzee Makamba astaafu siasa, atyajiepusha na mengi cz ile age ya kusahau vitu do ameshaifikia
 
MAKAMBA:; Anayepinga malipo ya DOWANS ruksa kuhama chama cha mapinduzi CCM
KIKWETE:; Mimi siitambui DOWANS na ninapinga malipo ya DOWANS..........:msela:

sasa hii ina maana gani? na tunapata picha ya namna gani kutoka kwa hawa viongozi wa ngazi za juu kabisa wa chama cha mapinduzi, ambacho pia ndicho chama tawala nchini? je kikwete anatakiwa kukihama chama au makamba a-step down kwa kumdhalilisha mwenyekiti wake? na kama ikiwa wote ni wahuni just confusing innocent people sababu wanjua kila kitu?...........:bump::bump:
Lakini mjomba,
Hii kauli umeipata wapi?...sikumbuki ni lini JK alisema haitambui Dowans!...
Pia hakutamka kuwa anapinga malipo ya Dowans, bali kwamba serikali itakuwa na subira, na kuwa ameteua wanasheria walichunguze suala hili kwa macho ya kisheria!
Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni!
 
Wahame waende chama gani?sidhani kama kuna nafasi zao Upinzani, wabaki huko huko ili watanzania waone uozo wao ili wafanye maamuzi haraka ya kuwapindua
 
Du! Hii kaaaaaali mpaka raha. Yaani viongozi wetu wanageuzwa na vijiupepo viduuuuuuchu!!! Mh! Nani ndo nani hapo mwenyekiti na katibu wake washalala chaliiiiiiiii
 
Back
Top Bottom