Namzimikia Charminglady jamani nifanyeje?

mmmmmh,mchakachuo square mbna hakuna saini ya mchungaji na muhur wa kanisa??????? hebu rudi tena kwa mchungaji na km umeghushi imekula kwako mazimaaaaa . . .
 
Yaaaalah!!!!!!!

Hata hivyo mie niseme hongera!
Kanyota kako kanauza!
Yaani full-mauzo!
Sasa jitie mashauzi ukaacha kusanjarika na nyota ikiwa bado ina demand kunako soko!
Mauzo huja na kutoweka!
Nata na bit !
Nenda na move!
 
Usije ukakumbuka shuka majirani wana miswaki midomoni .
 
umeona eeh!
 
Back
Top Bottom