Namtafuta Nambua Mlaki

Status
Not open for further replies.

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Uzuri wa JF ni kuwa tunajua kuna watu wamepata mpaka wake wa kuoa kupitia huu mtandao na kiunganishi muhimu sana

Sasa naona i should swallow my pride by coming out na kusema wazi kuwa alikuwa jirani yangu kwenye miaka ya 90's na she grew over me. Mra ya mwisho tulikutana Salander pale kwenye saluni ya mama yake juu ya SAPNA electronics and as they say it was love at first ight lakini baadae nikagundua it was a puppy love

sasa ni miaka zaidi ya 10 hatujaonana na mimi niko DESPERATE kumpata Nambua

Nitashukuru sana kama mtaweza kuniunganisha naye and who knows maybe we can re ignite zile sparks like FRIENDSREUNITED.COM

msaada wenu unahitajika tafhalini na nisingependa kupewa FALSE LEADS

wenu katika mpambano

nawasilisha

Nyongeza ni kuwa nilikuwa naoluza kama kuna mtu anaweza kunifahamisha pa kuipata TSHIRT kama hii ya RUN DMC aniambie maana nimeagizwa na mtu

4jqx1.jpg
 
There are 3 personalities in this forum that I would like to profile. Pundit, Nyani Ngabu/McCain and joining the list today is game theory. Some insight anyone?
 
haya nikisema mie ndio Nambua mwenyewe?????

sin wasi wasi na hilo ila nami nitakuuliza couple of clues kama ni wewe au la

mfano saluni yenu pale mjini ilikuwa inaitwaje?

na kabla ya kuhamia Mikocheni B mlikuwa mnaishi wapi?

na London ulikuwa unakaa wapi?

na Britsh passport ulipata lini?

then tutaendelea from there
 
ha ha ha haaaaa, Rosela
 
There are 3 personalities in this forum that I would like to profile. Pundit, Nyani Ngabu/McCain and joining the list today is game theory. Some insight anyone?
Kwa kukurahisishia kazi I am like JOHN CUSACK kwenye hii movie:

identity.jpg

kama uliiona
 
unamtafuta nambua katika ile ile misingi ya kutonunua ng'ombe wakati unaweza pata maziwa bure au umebadilisha. manake wengine watasita kukuelekeza kunako maziwa ya bure (sasa usiseme ni wivu) lol.

ukipeleka ombi lako kwa michuzi kama "msaada kwenye tuta" unaweza pata jibu pia.
 
GT we kipindi cha nyuma chote ulishindwa sasa hivi itabidi utafute picha yake upunguze machungu.
 
la hasha

mimi namtafuta kwa nia nzuri kabosa kwa sababu ambazo nilishazieleza hapo juu na pili as a business associate maana najua kenda skuli yule na zaidi ya hayo ile AGENDA YA PILI siwezi kuirule out COMPLETELY kwa sababu ile siku zote ipo na ina kazi yake
 
GT we kipindi cha nyuma chote ulishindwa sasa hivi itabidi utafute picha yake upunguze machungu.
duh! kweli lakini inabidi picha yenyewe ake mkao wa hasara hasara

anywa niko serious na sitaki false leads
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom