Namtafuta Mama Tecla Thrombo

specialist88

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
1,141
617
Habari wadau,

Leo nimekuja kwenu nikiwa na shida moja mhimu sana. Namtafuta Mama Tecla Thrombo kama sijakosea jina lake. Huyu mama alikuwa wizara ya elimu ofisi ya katibu mkuu wizara ya elimu kama PS na badae ofisi ya waziri kama PS.

Huyu mama alinitendea wema mkubwa sana sana. Aliniokoa sana sana. Naamini bila yeye sijui maisha yangu yangekuwa wapi.

Nilipoteza namba yake baada ya kuibiwa simu yangu.

Mtu atakayenisaidia kumpata huyu mama nitampa zawadi.
 
Back
Top Bottom