Nampenda Simjui!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Jamani mimi nampenda lakini chakushangaza simjui lakini kila mara mawazo yanakuwa juu yake nini suruhisho lake??
 
humjui ulimuona wapi ukampenda??? they say true love never happen,,,, while others says true love never die,,,, kazi iko kwako sasa kutujulisha kati ya misemo hii ipi ina ukweli my boy,,, work hard to save ur soul...
 
Duh!!Pole sana kaka hata mimi ilinitokea Bulaza but baada ya kumwona UPENDO ulipotea wote!!
Pls kutana nae mapema ucje ukajutia nafsi coz yeye atakuwa amefall zaid wewe ndo unataka umwache!!

Jamani mimi nampenda lakini chakushangaza simjui lakini kila mara mawazo yanakuwa juu yake nini suruhisho lake??
 
humjui ulimuona wapi ukampenda??? they say true love never happen,,,, while others says true love never die,,,, kazi iko kwako sasa kutujulisha kati ya misemo hii ipi ina ukweli my boy,,, work hard to save ur soul...

Hata sijui true love never die!!anyway!
 
Kama umekutana nae humu JF ukajenga hisia za kumpenda basi kutana nae ili hizo hisia zipungue sababu imagination is more powerful, najua kichwani mwako utakuwa na kiumbe ambae in reality hapatikani...
 
Duh!!kweli!!ngoja nikirudi nitarudi na jibu!!Nitakwambia!!
 
pole
jaribu kutafuta contact zake then mwambie akikutosa poa kaa chn ulie na akikubalia ntakununulia shampen tufurai bt say t ajue ili utue mzgo unaokuumiza
pole jaman
 
Hyo inawezekana kbs, waweza mpenda usie mjua kwa maneno yk matamu. Na ukawa unamuona kifikra, kumbe mwisho wa cku c yule ulokuwa ukimfikiria. Pole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom