Nampenda lakini naogopa kumwambia!

Wakuu hbr zenu!

Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.

Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.

Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.

Girls girls girls!!
 
Wewe hunasifa hizo jana tu umetoa bonge la tusi kwenye Uzi wa waraka wa moniccca kwa wanaume
na hilo ndio tatizo tulilo nalo binadamu wewe sio mwema lakina wataka mtu mwema wewe sio mstaharabu lkn wataka mtu mstaharabu hivi hii imekaajee?ni shidaaaaaa mtu hupewa kulingana na vile alivyo kama ww mwizi utampata mwizi mwenzio kama hataiba kwa watu basi atakuibia wewe mwenyewe tujifunze kuwa wema ili nasi tustahili vilivyo vyema.
 
Wakuu hbr zenu!

Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.

Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.

Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.
punguza kuwaza ngono
 
Back
Top Bottom