Nampenda lakini hataki tuongozane pamoja

mujitahid

Member
Apr 28, 2012
68
5
nina mpenz wangu huu n mwaka wa tano sasa hataki kunitambulisha kwao wala kunizungumzia kwa marafiki zake.na ikitokea tuenda sehemu anataka tukutane huko huko.kibaya zaidi tupo hostel moja kwa miaka yote hiyo kuja chumban n usiku sana au kuonana sehemu za giza tu.hatujawah kula pamoja kantini kuongozana au kusogeleana wakati wa mchana hata tukikutana kwenye korido n salamu za kuchekeana..tupo madarsa tofauti na ilishawi kukutana tupo kipindi anadai nisi msogele kwa kuwa hataweza kuongea wala kuelewa kabisa na discousion ndo nsujaribu kwa kuwa akili itamuhama..
mwanzoni alikuwa na sababu kwa kuwa mama yake na yy alikuwa compus moja hivyo akawa anamohofia asionekane ana tabia mbaya..ki ukweli n bint mstaarabu na sio limbukeni au mauuza sura lakini kama kweli ananipenda iwaje aweke distance hivyo na tukiwa wemyewe mafichoni anajiachie hivyo..sisemi anakumbatie au kunibusu hadharani ila awr free kama anavyokuwa kwa watu wengine...je ni aibu au muoga au hanipendi..hajaw kuwa na mahusiono hapo awali m ndo wakwanza.nisaidieni nifanyaje
 
ooooh hahahhahah anakupenda sana lakini ana AIBU, du mbembeleze atakubari tu. wow ! that is very nice of you.
Ila siku hizi kuna bomba la gesi na siyo grid tena ya taifa, na bomba la gesi lina ugomvi !?
 
dah ninavumilia ila natamani awe rafik na sio mpenzi tu..nakosa hilo
 
Nahisi atakua anakuonea aibu ndo maana anataka mkutane usiku au sehemu za giza,

Ni watu wachache sana ambao huwa na uwoga kama huo maana kipindi hiki watu wamesaidiwa sana na utandawazi ndo maana kama mtu ni mwoga sana kukuambia live live hutumia simu kueleza hisia zake hivyo kukamilisha anachohitaji.

eti ehhhh
 
nina mpenz wangu huu n mwaka wa tano sasa hataki kunitambulisha kwao wala kunizungumzia kwa marafiki zake.na ikitokea tuenda sehemu anataka tukutane huko huko.kibaya zaidi tupo hostel moja kwa miaka yote hiyo kuja chumban n usiku sana au kuonana sehemu za giza tu.hatujawah kula pamoja kantini kuongozana au kusogeleana wakati wa mchana hata tukikutana kwenye korido n salamu za kuchekeana..tupo madarsa tofauti na ilishawi kukutana tupo kipindi anadai nisi msogele kwa kuwa hataweza kuongea wala kuelewa kabisa na discousion ndo nsujaribu kwa kuwa akili itamuhama..
mwanzoni alikuwa na sababu kwa kuwa mama yake na yy alikuwa compus moja hivyo akawa anamohofia asionekane ana tabia mbaya..ki ukweli n bint mstaarabu na sio limbukeni au mauuza sura lakini kama kweli ananipenda iwaje aweke distance hivyo na tukiwa wemyewe mafichoni anajiachie hivyo..sisemi anakumbatie au kunibusu hadharani ila awr free kama anavyokuwa kwa watu wengine...je ni aibu au muoga au hanipendi..hajaw kuwa na mahusiono hapo awali m ndo wakwanza.nisaidieni nifanyaje

Kwanza hongera kwani umepata msichana aliyelelewa kimaadili. Unataka ajiachie kwako wakati bado hujawa mume wake. Mwanamke yeyote aliyepata malezi ya kutosha lazima aone aibu kuwa na mahusiano kabla ya ndoa..Tena umenikumbusha enzi za mahusiano na my wife ilikuwa the same na watu walijuwa kwa kuhisi na sio kuonyeshwa kama nguo za mtumba. Kuhusu kushindwa kuongea au kuwa huru ukiwepo huo ndio upendo wenyewe yaani kila ukiwepo unahamisha mawazo na fikra zake kwa hisia kali alizo nazo kwako. Wengine watakushauri ana mtu mwingine ila tumia uzoefu wangu kwani nilipitia njia yako.
 
asante sana..n vitu vingi navikosa na kwa kweli kuna wakati naweka hisia zingine ila anipa moyo na kuangalia mazingira ya livyo kimaadili..tunasubiri mda mchache kuapishwa na alhaji mw...ili tuanze utaratibu wa ndoa ndo nkawa nahitaji udheefu
 
Kwa kifupi, hajakupenda bado huyo! We endelea kuvuta muda kitakachojiri mbeleni ndo hichohicho
 
asante sana..n vitu vingi navikosa na kwa kweli kuna wakati naweka hisia zingine ila anipa moyo na kuangalia mazingira ya livyo kimaadili..tunasubiri mda mchache kuapishwa na alhaji mw...ili tuanze utaratibu wa ndoa ndo nkawa nahitaji udheefu

Si upendekeze ndoa kabisa ili awe huru.

Napenda sana msichana wa namna hiyo, ila asitumie kama kinga ya kuwa na mahusiano feki.
 
asante sana..n vitu vingi navikosa na kwa kweli kuna wakati naweka hisia zingine ila anipa moyo na kuangalia mazingira ya livyo kimaadili..tunasubiri mda mchache kuapishwa na alhaji mw...ili tuanze utaratibu wa ndoa ndo nkawa nahitaji udheefu

Wa namna hii jiandae kula bata ukisha mpa thamani yake yaani kuwa mkeo...Don't worry that's the way it is.
 
Tuma mshenga kwao utake kuoa atoe msimamo kabisa hata kama hamuoani leo. Kama ataleta kigugumizi jua wewe sio chaguo lake ina mana ungekuwa riz1 asingependa dunia ijue huyo ni wa kwake? anajiaminisha nini kukuacha uonekane uko open bila kufikiria wengine watakumendea? chunga sana hapo malezi ya kihivyo siku hizi hayapo na yangekuwepo asingekupangia mapaja yake kabisa.
 
nimekusoma
 
Back
Top Bottom