Namna ya kukunja karatasi ya kura

IamPrince George

JF-Expert Member
Nov 22, 2014
412
168
* NAMNA YA KUKUNJA KARATASI YA KUPIGA KURA (ballot Paper) BAADA YA KUPIGA KURA YAKO.

Utapewa karatasi ambayo itakuwa na majina ya wagombea.

Karatasi itakuwa na muonekano wa umbo la mstatili.
Inaweza kutokea kwa bahati mbaya baada ya kupiga kura kwenye nafasi ya mgombea uliyemchagua, ile kalamu uliyetumia ikawa inavuja wino.
Kuvuja wino kukasababisha kuathiri kura yako na ikaharibika wakati Wa ukunjaji karatasi hiyo.

Wakati wa kukunja karatasi yako ya kura ikunje kwa namna ifuatayo.

ishike karatasi ikiwa katika umbo la mstatili ikunje kwenda chini ili kuzuia wino kutoathiri mgombea mwingine na kura kuharibika, kwa kuikunja kwa namna hiyo hata kama wino unavuja utabaki katika sehemu ya mgombea uliyemchagua na kura yako itakuwa salama salimini.
 
Attachments

  • 1442416723846.jpg
    1442416723846.jpg
    33.6 KB · Views: 1,038
Wadanganye wajinga hizo karatasi hazijafika nchini,mara kalamu oo tutaibiwa mshajua mnashindwa sasa mnaanza kutafuta sababu naona mwishoni mtawaambia WATU waende NA karatasi zao za kupigia KURA.mtashindwa mchana kweupe CCM HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Angalizo zuri saana, lakini labda na mimi ningewashauri wanamabadiliko wenzangu kuwa tuende na kalamu ambazo hazimwagi wino mwingi, ikiwezekana chukua hata kalamu mbili kwa tahadhali. Pia namna ya ukunnjaji wa karatasi ya kura nalo ni jambo muhimu saana katika nyakati hizi za goli la mkono. Tafadhali tuzingatie.
 
Wadanganye wajinga hizo karatasi hazijafika nchini,mara kalamu oo tutaibiwa mshajua mnashindwa sasa mnaanza kutafuta sababu naona mwishoni mtawaambia WATU waende NA karatasi zao za kupigia KURA.mtashindwa mchana kweupe CCM HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

Wanahangaika sana hawa.

Magufuli Rais wa awamu ya tano, chagua Magufuli Oct 25.
 
Wadanganye wajinga hizo karatasi hazijafika nchini,mara kalamu oo tutaibiwa mshajua mnashindwa sasa mnaanza kutafuta sababu naona mwishoni mtawaambia WATU waende NA karatasi zao za kupigia KURA.mtashindwa mchana kweupe CCM HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

Kwani bado hujajifungua?
 
Mmawia nimeshazaa wameshakupaku teyari akuona beki za nyuma zimekatika vitu vinamwagika ziba
 
Last edited by a moderator:

Hapa umekurupuka tu ndugu,,,,hilo somo ni kwa pande zote umeambiwa huo wino unaweza kuvuja na kuchafua upande Wa mtu ambae hujamchagua so awe ccm or ukawa anatakiwa awe makini
 
Mmawia nimeshazaa wameshakupaku teyari akuona beki za nyuma zimekatika vitu vinamwagika ziba

Kama umejifungua basi nyonyesha wacha kurukaruka husije ukapata mimba wakati mtoto bado ananyonya
 
Last edited by a moderator:
Wadanganye wajinga hizo karatasi hazijafika nchini,mara kalamu oo tutaibiwa mshajua mnashindwa sasa mnaanza kutafuta sababu naona mwishoni mtawaambia WATU waende NA karatasi zao za kupigia KURA.mtashindwa mchana kweupe CCM HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

Mafiii yako!! Lowasa ndo rais
 
Back
Top Bottom