Namkumbusha Jussa, TPA ikianza kuzalisha faida kubwa asije kusema Bandari ni suala la Muungano maana ACT ni vigeugeu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,000
142,027
Swala la Bandari limetamatika na jana mwenyekiti wa DP World alikuwa Makete Njombe yalipo Makao makuu ya mganga wa Utajiri Tanzania Dr Mwakipande

Nakumbuka mjumbe wa kamati kuu ya ACT Wazalendo mh Jussa alisema Zanzibar haihusiki na TPA na kwamba Bandari siyo swala la Muungano

Basi mh Ismail Jussa usije badilika mbele ya safari

Mungu wa mbinguni mbariki Abdul Nondo 😀
 
"Makao makuu ya mganga wa Utajiri Tanzania Dr Mwakipande" - Nukuu

Bwashee, umempigia upatu dokta mtajwa hapo juu. Watu wapenda "short cut" za maisha wataanza kumiminika kwenda kwake kutesti zali.
 
Back
Top Bottom