Namkubali sana Wakili msomi Mwabukusi lakini...

Niseme wazi hapa:

Kujadiliana kwa hoja ndiyo ulioustaraabu na kwa kuliwezesha hilo Kudos, JF:

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila majibu yale 5 nilikuomba hayakuja. Si vyema kuyaachia mambo njiani.

"Labda ungali unayafanyia kazi."

Hata hivyo inajulikana maswali ni maswali mengineyo ni magumu.

Nikadhani ndiyo maana na kiroho safi tulikubaliana kuwa:

"kuomba 'pooo' nayo imo." --ridhaa muhimu kwenye mpambano. Na hata kwa kina M*ndonga mtu kazi, huko.

Kuwa huru ikikupendeza mkuu.
 
"kuomba 'pooo' nayo imo." --ridhaa muhimu kwenye mpambano. Na hata kwa kina M*ndonga huko.

Hapo ndipo unapofeli.. Unapoona nimesoma nikapita hivi....! Wee kausha tuu.. Maana si kila kitu ni cha kujibu.. !

Huwa nachagua cha kujibu, wa kumjibu na aina ya jibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"kuomba 'pooo' nayo imo." --ridhaa muhimu kwenye mpambano. Na hata kwa kina M*ndonga huko.

Hapo ndipo unapofeli.. Unapoona nimesoma nikapita hivi....! Wee kausha tuu.. Maana si kila kitu ni cha kujibu.. !

Huwa nachagua cha kujibu, wa kumjibu na aina ya jibu

Sent using Jamii Forums mobile app

Ninasikitika unapo nihukumu bila kunisikiliza. Si sahihi kunisemea popote kama sijasema mimi.

Hisia zako hazina cha kufanya na mtu yeyote. Ukihitaji hoja yake mwulize aseme mwenyewe.

1664543999224~2.jpg

Tumhukumu mtu kwa hoja zake si kwa kumhisia sisi.

Si nadra kumdhania ndiye kumbe akawa siye.
 
Kwa kifupi, anaweza kukamatia segment ya wakukurupuka pale Futuhi.
 
Huyu brazaj ni mtoto mdogo sana kwako. Hawezi kwenda na wewe Head 2 Head. Usipoteze muda wako kwa mtu ambaye hawezi kuona hoja nzito za ushauri ulioutoa

Kwamba,

Baada ya Tundu Lissu kuachiwa na Polisi; je, atarejea Karatu kuendelea na mkutano wake?

Eti?

Screenshot_20231007-155515.jpg

Hivyo, shujaa ni wewe siyo?

Bwana Huihui2 tupeane maujanja:

Hivi uliweza je kufuta zikiwamo jumbe zangu kwenye uzi wangu huu:

"CHADEMA wakaneni hadharani chawa hawa wa mitandaoni"

Kuihusu jumbe yako tata hiyo "niliyokukumbusha," yenye kumbagaza huyo mwamba.

Kumbuka tulimalizana kwa kukubaliana:

"Kwamba machozi ya mamba siyo?"

Halafu jumbe zote hata zilizokuwa zangu, "polite" kama zilivyo siku zote, zikapotea siyo?

Nisiache kukwambia: zitazungukwa sana butcher. nyama ni ile ile:

IMG_20231011_141544.jpg

Maana halisi ya kuwa hoja haipingwi kwa rungu!
 
Katikati situation aliyonayo anapaswa kutulia sana na kwenye baadhi ya maamuzi anapaswa kutafakari kwa muda kabla hajaongea.

Matamshi ni kama kama risasi hayana rivasi, yakitoka yametoka, kifuatacho watu wanaweza kusamehe lakini sio kusahau natambua umakini wake.

Natambua uwezo wake mkubwa wa kujenga hoja, kuchambua na kushawishi ili ukubaliane naye, natambua uthubutu wake linapikuja suala la haki na kuipigania Tanganyika. Yaani kuna wakati anaongea yeye wanatetemeka wengine.

Nia yake ni thabiti na uhalisia wake unauona kabisa kwenye matamshi yake na body language yake, lakini amakinike mno na mfumo maana hauishiwi mbinu za kukwamisha ama kufelisha mambo! Juzi OCD wa Mbeya alimuingiza mtegoni kizembe sana.

Alimwambia mkutano wake umezuiwa kwakuwa CHADEMA wameenda kulalamika polisi kwamba nyimbo zao CHADEMA zinapigwa kwenye mkutano wa wakili msomi Mwabukusi. Mwabukusi bila hata kutafakari hiyo kauli akasitisha mkutano wake na kwa namna fulani akailaumu CHADEMA.

Hivi kweli wakili msomi Mwabukusi alishindwa kuuona mtego hapo? Ni lini polisi wamekuwa wema kiasi hicho cha kuchukua hatua za haraka walipopata malalamiko ya CHADEMA? Kuna kesi ngapi polisi za uonevu, za kubambikwa za kusingiziwa za viongozi na wanachama wa CHADEMA kila mahali Tanganyika ambazo zinasuasua mpaka kesho?

Hekima ya CHADEMA iliepusha mfarakano mkubwa sana! CHADEMA kabla ya kujibu kwa haraka tuhuma hizo walichukua muda kujiridhisha kwamba hizo taarifa zilikuwa za uzushi, uongo na upotoshaji mkubwa. Baada ya hapo ndio kupitia kiongozi wa eneo husika alimtafuta Mwabukusi na kumwambia hali halisi kwamba hakuna mahali popote CHADEMA ilifanya hivyo.

Wakili msomi Mwabukusi ni mnyenyekevu na mkweli sana baada ya taarifa hiyo aliita waandishi wa habari na kuwapa mrejesho huo huku akiapa kumburuza kortini OCD.

Mwabukusi amakinike na timu aliyonayo! Sina mashaka na Mdude lakini kwa Dr. Slaa kuna ukungu. Ukimsikiliza kwa makini katikati ya matamshi yake kuna vitu haviko sawa sana! Kwa mfano alipopata wasaa wa kuwasalimia Wanambeya waliokusanyika nyumbani kwa Mwabukusi alitoa mfano wa kushangaza kwamba bunge lisiwe la chama kimoja tu bali kuwe walau na uwiano! Akatoa mfano CCM ikiwa na wabunge 200 basi wengine wawe na wabunge 100

What a grave mistake! Hapo alijidhihiri anasimamia nini na anaamini nini. Kwamba bado ana imani kubwa na CCM kuliko vyama vingine! Katika nyakati hizi za harakati kubwa za kuiondoa CCM madarakani, mpiganaji mpambanaji kamwe hawezi kuongea kitu kama hicho! Sitaki kumuita Dr. Slaa pandikizi, lakini nyayo zake zimechafuka!

Kuhusu Buberwa kila nikimuangalia yuko moderate sana na mara nyingi sauti yake haiakisi uhai na uhalisia!

Huu ni mtazamo wangu binafsi.
Je,hujafikiria kwamba huenda Dr Slaa aliongea kwa kuzingatia uhalisia? Pengine yeye anaamini( kwa tathimini yake) kwamba possibilities ni walau upinzani kupata theluthi mmoja ya viti ya ubunge?
 
Hii ndiyo jamii forum niliyokuwa naifahamu
 
Mwabukusu anahujumiwa, na hata ukiangalia vizuri ni kwamba anaanza kuchonganishwa na CHADEMA. Kule NCCR mageuzi kesha fanyiwa yale ya Lipumba na Marehemu Maalim Seif. Sasa wanafahamu akiingia CHADEMA itakuwa balaa, hivyo kwa kila namna utaona serikali ikimchonganisha na CHADEMA lakini naye hataki kuchonganishwa na CHADEMA.
Mwabukusi hawezi peke yake na hilo JITU wana liita Sauti ya Watanzania halina kichwa wala miguu, alipaswa kuachana nalo, badala yake harakati zake zikabebwa na chama makini kama CHADEMA.
Hiyo sauti ya Watanzania haina usajili wala utambulisho wowote, haijulikani muelekeo wake ni upi na mwisho wake ni upi.
Ni mtu makini lakini anapaswa kushauriwa kuachana na sauti ya watanzania Ajiunge CHADEMA, ili afanikishe dhamira yake nzuri ya kuwatetea watanganyika.
Marehemu Mtikila alifanya hivyo, kwa kuanzisha DP ingawa usajiri aliupata baada ya misuko suko mingi lakini alipoupata aliifanya alichofanya .
Mwabukusi anapaswa kuelewa bila kuwa kwenye chama cha siasa Tanzania hawezi kuufikisha ujumbe wake popote, labda aupokonye mwenge wa ccm akimbie nao Tanzania nzima.
Ama aunde chama chake ashughulikie usajiri, au Ajiunge Chadema aendeleze harakati.
Dr.Slaa anamuharibia na anampotosha.
 
Ama aunde chama chake ashughulikie usajiri, au Aiunge Chadema aendeleze harakati.

Dr.Slaa anamuharibia na anampotosha.,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katikati situation aliyonayo anapaswa kutulia sana na kwenye baadhi ya maamuzi anapaswa kutafakari kwa muda kabla hajaongea.

Matamshi ni kama kama risasi hayana rivasi, yakitoka yametoka, kifuatacho watu wanaweza kusamehe lakini sio kusahau natambua umakini wake.

Natambua uwezo wake mkubwa wa kujenga hoja, kuchambua na kushawishi ili ukubaliane naye, natambua uthubutu wake linapikuja suala la haki na kuipigania Tanganyika. Yaani kuna wakati anaongea yeye wanatetemeka wengine.

Nia yake ni thabiti na uhalisia wake unauona kabisa kwenye matamshi yake na body language yake, lakini amakinike mno na mfumo maana hauishiwi mbinu za kukwamisha ama kufelisha mambo! Juzi OCD wa Mbeya alimuingiza mtegoni kizembe sana.

Alimwambia mkutano wake umezuiwa kwakuwa CHADEMA wameenda kulalamika polisi kwamba nyimbo zao CHADEMA zinapigwa kwenye mkutano wa wakili msomi Mwabukusi. Mwabukusi bila hata kutafakari hiyo kauli akasitisha mkutano wake na kwa namna fulani akailaumu CHADEMA.

Hivi kweli wakili msomi Mwabukusi alishindwa kuuona mtego hapo? Ni lini polisi wamekuwa wema kiasi hicho cha kuchukua hatua za haraka walipopata malalamiko ya CHADEMA? Kuna kesi ngapi polisi za uonevu, za kubambikwa za kusingiziwa za viongozi na wanachama wa CHADEMA kila mahali Tanganyika ambazo zinasuasua mpaka kesho?

Hekima ya CHADEMA iliepusha mfarakano mkubwa sana! CHADEMA kabla ya kujibu kwa haraka tuhuma hizo walichukua muda kujiridhisha kwamba hizo taarifa zilikuwa za uzushi, uongo na upotoshaji mkubwa. Baada ya hapo ndio kupitia kiongozi wa eneo husika alimtafuta Mwabukusi na kumwambia hali halisi kwamba hakuna mahali popote CHADEMA ilifanya hivyo.

Wakili msomi Mwabukusi ni mnyenyekevu na mkweli sana baada ya taarifa hiyo aliita waandishi wa habari na kuwapa mrejesho huo huku akiapa kumburuza kortini OCD.

Mwabukusi amakinike na timu aliyonayo! Sina mashaka na Mdude lakini kwa Dr. Slaa kuna ukungu. Ukimsikiliza kwa makini katikati ya matamshi yake kuna vitu haviko sawa sana! Kwa mfano alipopata wasaa wa kuwasalimia Wanambeya waliokusanyika nyumbani kwa Mwabukusi alitoa mfano wa kushangaza kwamba bunge lisiwe la chama kimoja tu bali kuwe walau na uwiano! Akatoa mfano CCM ikiwa na wabunge 200 basi wengine wawe na wabunge 100

What a grave mistake! Hapo alijidhihiri anasimamia nini na anaamini nini. Kwamba bado ana imani kubwa na CCM kuliko vyama vingine! Katika nyakati hizi za harakati kubwa za kuiondoa CCM madarakani, mpiganaji mpambanaji kamwe hawezi kuongea kitu kama hicho! Sitaki kumuita Dr. Slaa pandikizi, lakini nyayo zake zimechafuka!

Kuhusu Buberwa kila nikimuangalia yuko moderate sana na mara nyingi sauti yake haiakisi uhai na uhalisia!

Huu ni mtazamo wangu binafsi.

Baada ya majibu kwako hoja kwa hoja kwenye mada, nikurejee sasa na majibu kamili nikiweka pia na utafiti na maoni yangu.

Kutambua tofauti baina ya mwanasiasa na mwanaharakati ni muhimu ili kuweza kuwaelewa Chadema, Mwabukusi, Dkt. Slaa, Mdude, Buberwa na wenzao katika hali kuweza kujua:

a) Kwanini huu uzi sasa.
b) Kwanini ushauri uliomo sasa.
c) Kwanini tathmini za hao watu kuwa hivi.
d) Kwanini kuna udharura
na makasiriko yaliyopo kutokea upande mmoja.

"Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati"

Kwamba,
1. Hata Chadema ni wanaharakati.
2. Uliowataja wote ni wanaharakati.
3. Pamoja na kuwa Chadema ni wanaharakati lakini si lazima wote mle wawe ni wanaharakati.
4. Ndani ya Chadema wote ni wanasiasa.
5. Kuna tofauti baina ya wanasiasa na wanaharakati.
6. Wanasiasa wanayo aina ya wanaharakati wanaowahitaji zaidi kuliko wengine.
7. Kutokea hapo, sababu za jitihada za kuwatengenisha Mwabukusi na Mdude upande mmoja na wengine upande mwingine, zinakuwa wazi.
8. Kutokea hapo pengine kwa umri wa Dkt. Slaa na kupishana mwa maujanja, yeye na Buberwa hawahitajiki.

Kwamba walihitajika Mwabukusi na Mdude tu (hata kwa kuwanunua kama Messi tu).

Mengine yote inakuwa ni historia inayokamilishwa na maneno matatu tu:

Siasa ni mchezo mchafu!

Kazi kweli kweli.
 
Baada ya majibu kwako ya hoja kwa hoja (tu) kwenye mada, nikurejee sasa na majibu kamili kwenye mada yako nikiweka na utafiti wangu.

Kutambua tofauti baina ya mwanasiasa na mwanaharakati ni muhimu ili kuweza kuwaelewa uliowahusisha kwenye mada yako. Yaani Chadema, Mwabukusi, Dkt. Slaa, Mdude, Buberwa na wenzao katika hali kuweza kujua:

1. Kwanini huu uzi sasa.
2. Kwanini ushauri uliomo sasa.
3. Kwanini tathmini za hao watu kuwa hivi.
4. Kwanini kuna udharura
na makasiriko yaliyopo kutokea upande mmoja.

Kwenye uzi huu hapa chini kuna maelezo ya msingi kuhusu wadau hao wote wa siasa unaowazungumzia:

"Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati"

Kwamba,
1. Hata Chadema ni wanaharakati.
3. Uliowataja wote ni wanaharakati.
3. Pamoja na kuwa Chadema ni wanaharakati lakini si lazima wote mle wawe ni wanaharakati.
4. Ndani ya Chadema wote ni wanasiasa.
5. Kuna tofauti baina ya wanasiasa na wanaharakati.
6. Wanasiasa wanayo aina ya wanaharakati wanaowahitaji zaidi kuliko wengine.
7. Kutokea hapo, sababu za jitihada za kuwatengenisha Mwabukusi na Mdude upande mmoja na wengine upande mwingine, zinakuwa wazi.
7. Kutokea hapo pengine kwa umri wa Dkt. Slaa na kupishana mwa maujanja, yeye na Buberwa hawahitajiki.

Kwamba walihitajika Mwabukusi na Mdude tu (hata kwa kuwanunua) Mengine yote inakuwa ni historia inayokamilishwa na maneno matatu tu:

Siasa ni mchezo mchafu!

Kazi kweli kweli.
Siasa ni mchezo mchafu! Kwa wachafu na wa chafuzi sio kwa wanaijitambua wazalendo na wafia nchi
Screenshots_2023-10-14-17-23-22.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom