Nami pia nimewa-miss WAPWAs na MABINAMUs

Tulikumiss pia swirry na imani sasa umekuja umekomaa kiroho tayari kwa kutupa neno la mungu.
Be blessed
 
Karibu sana ZD,
Ulitakiwa upime upepo kabla ya kugombea Udiwani alafu yule kampeni meneja wako amekuangusha kweli kweli alikuwa hatembezi mgao kwa wapambe
 
Aksante ZD nimekumiss pia........ nimepanda cheo siku hizi ni mjukuu wa kina Babu woooote kuanzia Teamo hadi Baba Gift. Karibu
 
Thanks you all.Mie nipo huku Kijijini (Nipo USALULE ,muulizeni KIMEY ndio kanificha huku) nasubiri mjomba aniletee nauli ili nije mjini....
Nashukuru uchaguzi umeisha salama na Amani ya nchi yetu inawendelea.
STAY BLESSED ALWAYS & LONGLIVE JEIEFU.
 
Back
Top Bottom