Namba ya simu na sms aloisoma Tundu Lissu mbele ya waandishi wa habari hii hapa

Lakini Magufuli mwenyewe alishathibitisha kuwa uwezo wa kuwapoteza watu anao na akatolea mfano jambo moja alilofanyiwa Kikwete akisema kuwa ingekuwa yeye basi nusu au robo wangepotezwa! Pia kule Zanzibar kauli aliyotoa mbele ya Shein kuhusu Maalim ilidhihirisha namna asivyo na ubinaadamu rohoni!
 
sawa kabisa mkuu, tatizo hawa UKAWA sijui kwa nini hawajifunzi. hii dunia ngumu mno, pita taratibu kama hujajaaliwa nguvu uende zako.
mambo ya kupambana wakati hata nguvu zenyewe huna, utaishia kutesa ndugu zako na familia yako bure.
Mkuu pole sana.
Sidhani kama hata unaelewa nilichoandika!
 
Hao wauaji/watekaji nao ni wazembe, hawana akili, wana jeuri au wana makusudi, yaani unapanga tukio la kijasusi halafu unaacha ushahidi wa sms, maajabu ya 11 haya.
 
Baada ya Christmas kama Ben hajapatikana tuwashauri ndugu na familia waweke matanga. Maana kuendelea kuishi katika hali ya sintofahamu hakika inazua hofu kubwa na watu hawafanyi kazi. Ni ushauri tu kwani hata huku kwetu huwa tunafanyaga hivyo
Dar we jamaa utakuwa mchawi huna huruma utakuwa unajua kilichompata Ben,ila wote tunaelekea huko mbele ya mumba siasa isikufanye uwe na roho ya shetani kiasi hichi,subiri malipo ni hapa hapa Duniani.
 
This country tho! when did we reach this level wallahi? ? mabavu, power, ukandamizaji, unyanyasaji, mauaji live live, crying for u Tanzania
 
Acha

Ukondoo, ndio maana kuna akina Mandela, Samora etc

Sawa kabisa, kama unayaishi hayo maneno yako kweli, jitokeze hadharani ufanywe kama Mandela au Samora. vinginevyo unajidanganya tuu kwenye hiyo keyboard yako au hiyo simu. Pole sana, inauma sana kumchukia mtu ambaye huna hata uwezo wa kumgusa, bora ukajifunza kumpenda na kushirikiana nae angalau itakupunguzia hata msongomawazo.
 
This country tho! when did we reach this level wallahi? ? mabavu, power, ukandamizaji, unyanyasaji, mauaji live live, crying for u Tanzania
ha ha haaa.! hizo stress zitawasababishia madonda ya tumbo bure watanzania wenzangu. hata kama hamuipendi CCM, ni bora mkajifunza kuipenda tuu, maana kwa bahati mbaya ndio chama kitakachowangoza kwa umri wenu wote, sanasana labda wajukuu zenu ndio wanaweza badilisha chama tawala, sio nyie wa sasa.
 
Vyama vikaa saana madarakani huibua kundi la watu wanaonufaika na uongozi huo huwa na tabia yakujitengenezea wigo ili wadumu zaidi na zaidi kuwepo. Ni kama ubepari ktk ubora wake. Capitalist is ready to kill in order to survive. Watu hao hujifanya kulinda amani kwa kuwaziba wengine wasisikike hiyo itadumu mpaka watu wengi zaidi watakapojitambua na kutengeneza nchi yenye uwiano sawa ktk siasa. Mawazo kinzani ktk nchi zenye nguvu ya upande mmoja ni uadui na si demokrasia.
 
Kuanzia lini serikali ikatuma ujumbe wakutumtisha mtu? Serikali ingekuwa imeona kuna tatizo na ben ingeshindwa kumpata na kumuadhibu kisheria hadi itume msg?

Ujinga huu..!
 
Safari inaendelea. Vitisho.Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku.Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko

Kuna watu hawa miongoni mwa wengi .Yeye anaandika " Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali hii utakipata.Kwa elimu na uwezo wako hatukutarajia ungefikia hatua ya ajabu kwa namna uliyofikia.Hujiulizi kwanini upo huru hadi muda huu .You are too young to die. Tunajua utaandika na hili.Andika lakini the next post hutaandika ukiwa na uhuru wa kutosha.Andika but your days are numbered. Unajua kuna rafiki yako alipuuza na hutaki kuandika kuhusu yeye labda kwa kuwa alitangulia.Andika Ben.Andika sana ,ongea.Sema lakini utajikuta mwenyewe na chatu"

He's such a coward.Muoga.Muaji anayejitangaza nae ana hofu tupu

Nimemshukuru lakini nimemjibu kwa namba yake hii 0768797982 ambayo ipo polisi.

Haya tunasonga mbele Watanzania.Kama ni Uchochezi sidhani kama upo uchochezi mkubwa zaidi ya huu.

As long as tupo hai,Sauti zetu hazitakoma.Tutaandika,Tutasema,Tutahutubia na tutafanya vitendo

Kitu kimoja tu cha hakika ni kuwa Damu ikimwagika hasa damu ya kimapinduzi hutoa mvuke utakaonyesha na kutiririsha mafuriko katikati ya mito na vijito vya haki. Kama itanyesha mvua ya Radi basi itaambatana na mwanga na cheche zitakazowamulika walaghai,watesaji,wakandamizaji wa haki.Watetezi wa haki watapata mwanga katikati ya giza tororo la Unyanyasaji,unafiki na ubakaji wa taaluma na dhamiri zao kitaaluma na kiimani

Yesu Kristu aliishi miaka 33 tu duniania.Nina Mwaka Mmoja bado .He faught the right cause.Alikuja Duniani kimungu.Kila mtu anaishi kutokana na makusudi ya Mungu.Mwenyezi Mungu huruhusu kila jambo kwa makusudi yake.Sisi ni akina nani tukatae makusudi yake?Hatukujileta Duniani na hatutaishi milele.

Wasichojua watu hawa ni kuwa nilizaliwa na kubatizwa hatari siku hiyohiyo kama Mkatoliki.Ubatizo wa kifo(Hatari) 13 Desemba miaka hiyo,nikapona kwa fadhila zake Muumba.Nimepata fadhila sana Machoni pa Mwenyezi Mungu hadi muda huu.Wanajisumbua!Nimeishi beyond that favour

Oh nakupenda mpenzi wangu Tanzania.I love you more than words can wield the matter,dearer than eyesight,space and Liberty.Oh I love you Tanzania.My Pride ,My fountain of inspiration."

Mlale salama marafiki zangu wapendwa.

Mapambano na Yaendelee,Ushindi U Dhahiiri(Aluta Continua,Victory Ascerta)

Pumzika kwa amani Rafiki yangu kipenzi Alphonce Mawazo.Hukukopa,Ulijiandaa kulipa gharama.Ukalipa Deni. Tunasonga Mbele! Nitalitaka Jeshi la Polisi liunganishe ujumbe uliotumwa na kifo chako katika hatua za uchunguzi.

Ben Saanane

NB:

Ndugu Mwigulu aje hapa na atwambie amefanya juhudi gani kufwatilia hii namba iliyomtishia maisha Ben Saanane.

Kama taarifa iliripotiwa police na kukatiwa RB, wamechukua hatua gani tangu kipindi taarifa ilivyotolewa hadi kupotea kwake?

Dola isituzunguke. Itwambue Ben Saanane yupo wapi na wasijaribu kutupoteza maboya kwa kumshikilia Lissu

#WeNeedBenAlive#
Uwenda nisiwe na mengi kuandika ila kama ingekuwa mm ndio kiongozi wa taifa hili chadema ningeifuta kama chama cha manazi kuke German. Chadema wana cha dema acheni kupoteza watu kutuhalalishia mambo yasio kuweko kuwa kweli. Kama mliweza kutembea nchi nzima under operation Sangara mkiwataja mafisadi nakuwalaani na sisi tukawaaminileo yule Mlimuita fisadi mna chil naye nakula naye nasema Chadema muogopeni Mungu. Muogopeni Mungu maana mnalitesa taifa letu na vijana wetu kushabikia ukuwadi wenu kwenye siasa. Mm nasema Mbowe Muogope Mungu. Lema Muogope Mungu. LISU MUOGOPENI MUNGU NYIE NI WATU HATARI SANA KWA USALAMA NA AMANI YETU CHINI YA MWAMVULI WA DEMOCRASIA NA MIMI SICHELEI KUWAAMBIA IKIWA PUWA ZETU ZINA ANGALIA CHINI BASI NA TUTENDE HAKI TUSITUMIE SIASA KAMA KISIMA CHAKUFANIKISHA MAMBO YETU. HILI NI TAIFA HURU HAITOKUBALIKA MATUMBO YENU YAFIKE ATUWA KUCHAFUWA AMANI YETU MIMI NASEMA HATAKAMA NI BABA YANGU VYOMBO VYA USALAMA VIFANYE KAZI YAKE TUMECHOKA TUMECHOKA SANA NA HUU MCHAMA CHADEMA. KAMA VIPI KIFUTWE BASI.
 
Kila ktu hum nchin kiko chn ya sizonje yy ndo anaamua yup mwenye haki na yupi wakuchinjwa.....mpaka kesho ifike...tutang'atwa sana na mbu usiku kucha enyi wana wakitz.....
 
KWA HIYO SERIKALI NDIO IMEANDIKA HII MASSAGE, SERIKALI NINI??? YAANI IYO MESSAGE PENGINE ALITUMIWA TUU ILI KUPOTEZA MWELEKEO NA KINACHONDELEA, HAKUNA SERIKALI INAYOMTISHIA MTU KWANI UKITAKIWA HATA HAWATAANGAIKA KUKUTISHA, WANAKUBEBA TUU KAMA MWEWE BILA KUJUA NI NANI KAKUBEBA,

WATU WAACHE KIJIFICHA KWENYE KIVULI CHA SERIKALI, KWANI KWELI BEN ANAWEZA KUYUMBISHA SERIKALI YENYE JESHI, USALAMA WA TAIFA, VIFARU IKAMTISHIE MTU AMBAYE HATA SI CHOCHOTE, ACHENI HAYO MAMBO JAMANI
WE TULIA MSITUFANYE WAPUMBAVU, KWANI ULIMBOKA KILIMPATA KITU GANI NA NI NANI ALIYEFANYA VILE.
 
Back
Top Bottom