Namaingo business agency LTD wakijadili uwekezaji

JAMHURI

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
449
60
Ni mkutano wa wanachama wa Dar wanaolelewa na muavuli wa Namaingo Business Agency LTD kujadili uwekezaji mkubwa wa mradi wa ufugaji nyuki pamoja huko kibiti mkoa wa pwani pia na mikakati ya mazao mengine ya kilimo msimu huu wa kilimo katika eneo lao lilipo kijiji cha ruharuke na kitongoji cha mbawa..

Pamoja na mambo mengine wanachama wamejitendea haki kutumia fursa hiyo adhimu na pekee hivi sasa

Lengo ni kuunga mkono Serikali ya awamu ya tano ya Dr John Pombe Magufuli inayotaka watu kufanya kazi na sio kazi tu ziwe zenye tija kama asemavyo Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency LTD, Biubwa Ibrahim
 
Attachments

  • IMG-20181117-WA0122.jpg
    IMG-20181117-WA0122.jpg
    77.3 KB · Views: 40
Ni mkutano wa wanachama wa Dar wanaolelewa na muavuli wa Namaingo Business Agency LTD kujadili uwekezaji mkubwa wa mradi wa ufugaji nyuki pamoja huko kibiti mkoa wa pwani pia na mikakati ya mazao mengine ya kilimo msimu huu wa kilimo katika eneo lao lilipo kijiji cha ruharuke na kitongoji cha mbawa..

Pamoja na mambo mengine wanachama wamejitendea haki kutumia fursa hiyo adhimu na pekee hivi sasa

Lengo ni kuunga mkono Serikali ya awamu ya tano ya Dr John Pombe Magufuli inayotaka watu kufanya kazi na sio kazi tu ziwe zenye tija kama asemavyo Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency LTD, Biubwa Ibrahim
Huyu Bi Ubwa ana nguvu za ziada, SERIKALI ya awamu ya 5 nayo imeshindwa kumdhibiti???
 
Amefugisha watu sungura weeeeeee ..akiwaaminisha nyama ya sungura dili,mkojo wa subgura dili watu wamejenga mabanda kwa gharama kubwa na kununua sungura kwa pupa sasa hivi familia zinalazimika kula sungura kwa sababu nje soko alipo ulikuwa ni usanii..alafu ihii kauli ya kusema wanamuunga mkono mh ni kiini macho tu .yeye hapo analenga msosi wa familia yake
 
Pole zao, ila nyama ya sungura tamu sana Nadhani hakuna kitoweo nakielewa kama sungura na samaki. Mwenye mbegu nzuri a nicheck nipate wawili nifuge for kitoweo
 
Hao sungura watamu unaoongelea wewe ni sungura pori ama ni aina gani?

Maana nijuavyo mimi, sungura mtamu na asiyeisha ladha ni sungura pori.

Hawa wa kufuga 'siyo'.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mama na hiyo firm yake ni wapiga diki kama 2engine tu.
Nishaliwaga 300,000/= pale
 
Back
Top Bottom