Isiolo hafai, maana ndo mbuzi mwenye kufikia uzito mkubwa kwa muda mfupi.Nakubaliana na wewe. View attachment 2823124
Kwangu mimi, mbuzi wa nyama ninechagua kuwafuga hawa aina ya Galla. Na huyu ni beberu wangu wa zizi.
Isiolo hafai, maana ndo mbuzi mwenye kufikia uzito mkubwa kwa muda mfupi.Nakubaliana na wewe. View attachment 2823124
Kwangu mimi, mbuzi wa nyama ninechagua kuwafuga hawa aina ya Galla. Na huyu ni beberu wangu wa zizi.
Kuna wadau wamekushauri vyema sana hapo juu sizani kama kuna haja ya kusema sana kikubwa nakuombea kwa Mungu ufanikiwe hitaji lako na uweze kufikia malengo yako unayoyahitaji ktk ufugaji huo, fwata yote uliyo elekweza mengi yamesha semwa. Nakuongezea Moja wapigie MBOGO RACHESE wana programe ya mafunzo kwa wafugaji wachanga na wameimaliza last week 0784 785 784 Mulla, na uingie kwenye page yao ya Instagrame utaona na kujuwa ingine inaanza lini, Mungu akubariki sana.
Karibu sana ndugu huu ufugaji ni wetu sote na yatupasha kusaidiana kwa kila hali ili tuweze kuvuka kwa pamoja.Nashukuru kwa maoni na connection
Karibu sana,na kuhusu soko usiwe na wasiwasi kabisa Yani uhitaji wa nyama ni mkubwa sana ,vile vile usije ukasahau kujisajili kwenye bodi ya nyama TanzaniaUshauri mzuri sana. Nashukuru kiongozi.
Nenda pale ubena zomozi kwa wale matajiri wa highland estates wana farm inaitwa mbogo farm ujifunze. Pia wana chama cha cattle commercial farmers, jiunge huko ndiko utapata connections za maana from people who have been there and done it!Nawasalimu wote wana jukwaa,
Moja kwa moja kwenye hoja. Nakusudia kuanzisha ufugaji wa Ng’ombe, Mbuzi na Kuku.
Naomba kwa wenye uzoefu mnipe maoni yenu, hususani juu ya:
1. Mikoa sahihi kwa biashara hii
2. Faida na hasara za biashara yenyewe
3. Changamoto na fursa
4. Wanunuzi wakubwa wa ng’ombe na mbuzi wa nyama (soko)
5. Chochote ambacho unadhani natakiwa kulizingatia kabla ya kuingia mzigoni.
Natanguliza shukurani.
Mwarabu haoni shida mwarabu mwenzie akifanikiwa and likewise kwa wahindi. Wenzetu hao wana ile imani kwamba there is enough for everybody, don't fight collaborate.Nimewahi kusikia ranchi za Taifa,
Hii nchi ilivyo ngumu sijui, labda uwe mwarabu
Ni hela tuNimewahi kusikia ranchi za Taifa,
Hii nchi ilivyo ngumu sijui, labda uwe mwarabu
Nenda pale ubena zomozi kwa wale matajiri wa highland estates wana farm inaitwa mbogo farm ujifunze. Pia wana chama cha cattle commercial farmers, jiunge huko ndiko utapata connections za maana from people who have been there and done it!
Ingia Google kuna habari zao nyingi.
Mfugaji. .nguruwe 300 mpaka uende Indua kweli. Hao wanaliwa ndani ya wilaya moja teba hata wiki hawatoboi.Kama ni ng'ombe fugia kuanzia sumbawanga,mpanda,hasa katavi huko kuna maeneo.
Japo Ningependa ufuge nguruwe ni rahisi na chap chap.
Ndio focus yangu nikipata hela fulani. Nitaanza na eneo la wastan la kutosha nguruwe wasipungue 40. Baadae niwe na eneo la kufugia nguruwe wasipungue 400. Wakifikia 300 unaanza kuwatoa kwa order ya kila siku. Hapo unasafiri kutafuta soko kwenye hotel iwe India,china au hapa hapa nchini. Lengo ni kuchinja nguruwe wasiopungua 10 kila siku na kuwasafirisha
Heka 20. Unaweza fuga mbuzi wangapi iwapo malisho ni hizo hizo heka. Hawatoki nje ya hapo na hawaletewi chakula nje ya heka 20. Eneo linafaa umwagiliaji.Kama ni ng'ombe fugia kuanzia sumbawanga,mpanda,hasa katavi huko kuna maeneo.
Japo Ningependa ufuge nguruwe ni rahisi na chap chap.
Ndio focus yangu nikipata hela fulani. Nitaanza na eneo la wastan la kutosha nguruwe wasipungue 40. Baadae niwe na eneo la kufugia nguruwe wasipungue 400. Wakifikia 300 unaanza kuwatoa kwa order ya kila siku. Hapo unasafiri kutafuta soko kwenye hotel iwe India,china au hapa hapa nchini. Lengo ni kuchinja nguruwe wasiopungua 10 kila siku na kuwasafirisha
Huzo nyasi za kulisha ng'ombe 15 zinapandwa kwenye eneo la ukubwa gani ?Karibuni.
Mbegu za malisho ya wanyama zinapatikana.
Juncao,Super Napier,Brachoaria na Swago.
Juncao na Super napier ukipanda na kuitunza vizuri unaweza kulisha ng'ombe 15 kwa mwaka.Pia yana 17% ya protein.
Swago zimavumilia ukame na unaweza kulisha wanyama kwenye shamba.
Bei ya Mbegu kg Tsh 5000.
0756625286.
Weka picha mkuu zinakuwa zimepandwaje na unazitumaje ?Karibuni.
Mbegu za malisho ya wanyama zinapatikana.
Juncao,Super Napier,Brachoaria na Swago.
Juncao na Super napier ukipanda na kuitunza vizuri unaweza kulisha ng'ombe 15 kwa mwaka.Pia yana 17% ya protein.
Swago zimavumilia ukame na unaweza kulisha wanyama kwenye shamba.
Bei ya Mbegu kg Tsh 5000.
0756625286.
Ngozi ya Tako,kama TakoMwarabu haoni shida mwarabu mwenzie akifanikiwa and likewise kwa wahindi. Wenzetu hao wana ile imani kwamba there is enough for everybody, don't fight collaborate.
Njoo kwa watu weusi sasa, roho mbaya, choyo na hasadi zimetujaa...nakupa mfano mwepesi wa roho mbaya za watu weusi:
1.angalia wanavyofanyiana roho mbaya sehemu ndogo kama barabarani, ajali nyingi za kupigana pasi msingi wake ni roho mbaya ya kukataa mwenzio asipite na pia roho mbaya ya kutaka kumchomekea mwenzio ili uwahi wewe wakati ulichelewa kwa kupitiliza usingizi baada ya kunywa pombe zako...
2. Njoo maofisini, wakati weupe wana collaborate waswahili ngozi ya *tako wanafanyiana ubaya ili kuharibiana kazi...mtu humjui wala hakujui mmekutana kazini lakini anakuchukia bila sababu...kuna mkinga mmoja alinifanyia unyama pahala, won't forget that bastard!
Tuache roho mbaya watu weusi...otherwise tutaendelea kubaki nyuma as compared na jamii nyingine halafu tuwalaumu hao waarabu wakati kwenye decision making kote kumejaa ngozi ya *tako wenzetu...
...wala rushwa na mafisadi wakubwa ni ngozi nyeusi wenzetu na ndiyo wanakwamisha mipango ya weusi wenzao!
Wanaofanya nchi kuwa ngumu ni ngozi ya *tako wenzetu!
Mbegu ni jamii ya napier ila zenyewe ni hybrid.Weka picha mkuu zinakuwa zimepandwaje na unazitumaje ?
Unapanda mbegu au shina ?mbegu au shina. Kuna maswali pale hujayajibu.Mbegu ni jamii ya napier ila zenyewe ni hybrid.
Unapanda Kati ya shina na shina sm 50 na Kati ya mstari na mstari sm 70,kina cha shimo sm 30na upana wa shimo sm 20.View attachment 2838723View attachment 2838724View attachment 2838726View attachment 2838727View attachment 2838728View attachment 2838729
Unakata na kuwapa ng'ombe,mbuzi na kondoo au punda,pia yakiwa machanga kuku na sungura wanakula.
Yana 17%ya protini,yanafaa sana kwa ajili ya ng'ombe wa maziwa na kwa ajili ya unenepeshaji.
Kagoma kule wanafuga nyati mixer ya tembo!!; Ng'ombe ako na 2389 Kg live weight??Mkata and Dakawa (Morogoro), Ruvu (Coast), Mzeri Hill (Tanga), West Kilimanjaro (Kilimanjaro), Manyara (Arusha), Uvinza (Kigoma), Kalambo (Rukwa), Usangu (Mbeya), Kikulula, Mabale, Kagoma, Misenyi and Kitengule (Kagera) na Kongwa
Hizi Ni za serikali
Kwenye eneo la ukubwa wa eka moja ukitunza vizuri unaweza kulisha ng'ombe 15,mbuzi au kondoo 100.Mimi ni mfugaji wa ng'ombe wa maziwa, ng'ombe wa nyama,kondoo na mbuzi.Huzo nyasi za kulisha ng'ombe 15 zinapandwa kwenye eneo la ukubwa gani ?
naombashesabu ya kupanda heka moja kwa mfugo mbuzi.
Ukiwachungia humo humo kwa mwaka mzoma watskula mbuz wangapi .
Mbuzi wa kienyeji walioshiba.