Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,685
- 3,429
Wacha maneno mengi ya ukike, GDP figures ni rahisi sana kupata. IMF na world bank wako na estimate zote, ukumbuke hao ndiyo walisema mumeingia lower middle income na mukapiga shangwe na nderemo.Just a fool and ignorant will compare Mwanza with glorified villages like Naruku,
No one agreed on those figures you provided as they come straight from your very own ass.
Wakenya hamnaga akili nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauna aibu ata kusema ati mwanza iko na goldmines mingi, na inaoneshwa kidole ya kati na mji ya wakulima.
Nakuru county inatoa 6.1% ya GDP ya Kenya ambayo ni $100 billion. Hesabu kwako, 6.1% ya 100 ni ngapi?
Mwanza region inatoa 7% ya GDP ya Tanzania ambayo ni $66 billion. Hesabu kwako tena, 7% ya 66 ni ngapi?
NB: Mwanaume penda masomo, si lazima kila kitu upikiwe na upakuliwe. Mwanza imeshinda Nakuru kwa population pekee, kwa sababu watanzania hamjui kitu ingine ila kuzaana kama panya. Wacha utanzania mingi ya mdomo bila kufikiria, jaribu kupiga hesabu kidogo. Ukishindwa na hesabu hapo juu uniambie nikupe jibu na dakika moja.