Nakerwa na barabara ya mikocheni

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Nakerwa sana na barabara ya Mikocheni sana sana kwa kweri aiseee nakwerwa saaana aisee......kuanzia pale baraka plaza mpaka klauzi kuna wale wapuuzi puuzi fulani wamechimba barabara kwa pembeni.....kuna bonge la shimo kwa pembeni pembeni.....barabara nyembambaaa kinoma noma.....
 
Hameni, huku Msanga kwa mlimia dole, njia ya kwenda Chole kuko shwari kabisa, hakuna mashimo wala nini.
 
Foleni ya kawe,mikocheni drive inn weekdays ni kufa mtu.
Maeneo ya mbezi,kunduchi,tegeta,boko na bunju makazi yamepanuka kuliko uwezo wa miundombinu yake,namkumbuka mbunifu keenja.
 
Hivi drive in ndo wapi?

Kuna foleni nako?

Foleni ya kawe,mikocheni drive inn weekdays ni kufa mtu.
Maeneo ya mbezi,kunduchi,tegeta,boko na bunju makazi yamepanuka kuliko uwezo wa miundombinu yake,namkumbuka mbunifu keenja.
 
mh...wenzetu pakiwa na kashimo tu mnalalamika...!..kweli MIKOCHENI!pole Yo Yo
 
Last edited by a moderator:
Foleni ya kawe,mikocheni drive inn weekdays ni kufa mtu.
Maeneo ya mbezi,kunduchi,tegeta,boko na bunju makazi yamepanuka kuliko uwezo wa miundombinu yake,namkumbuka mbunifu keenja.

hamia kwetu mbagala charambe!
 
Back
Top Bottom