Nakemea pepo la kuanza kutembea na mke wa mtu

ukiona mke wa mtu anakutaka kimapenzi tambua kuwa alikuwa malaya tangia utotoni japo siku hizi wanajifanya ohoo mara mume wangu hanirithishi, mara mume wangu ni kibamia pia jua anagongwa na watu tofauti....fanya utafiti utanipa jibu....
 
Kuna mmoja ananifukuzia kwa kasi, kila nikitoka kazin msg hazikatiki oooh! pole na kazi, mara oooh! umekula? mara ooooh! ushalala? msg zote sijibu anataka kunitia unajisi, hlf wanajua kucare hao!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom