najiuliza !!!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Hivi Wajomba na mashangazi, ma-braza na masiteri namba niwaulizage....?!!

Hivi, kwa zama zetu hizi za leo na utandagiza huu, wangapi wanaweza rudi kijijini kwenda kusaka demu au mvulana ambae atakuwa mwenzi wake wa maisha???!
 
Back
Top Bottom