Najisikia kuoa huku JF

kila la heri. lkn kwa nini JF? manake hiyo title ya threat nilitegemea utatoa sifa ambazo umeziona huku ambazo zimekufanya kuamini kuwa utapata mke umtakaye huku JF
 
miaka 30!?? Si kijeba kabisa ww.sasa mitaani kote uko wamekukataa ndo unataka kutokea umu jf,ebu weka picha yako bas tuone sura yako km ina nuru au irregular shape..kwa gia iyo ya kuoa ukienda facebook utawapata wengi sana,mi mwenzio adi niliwakmbia.umu bwn wanabana kinoma...ila jaribu!!
 
Sasa wewe muoaji mbona hujisemi ukoje tabia yako...?Sharobaro au sharo...?mnywaji lakini au mlevi...?mcheshi japo sura ngumu...?unagari..?una nyumba..?unamkopo ambao haujaumaliza..?una elimu gani..?kimo chako vip..? (haijalishi saana)rangi yako je? mweupe au mweusi?ukiwa na sifa zinazoridhisha nitakupa dada angu yuko huku humu JFNachotaka kukwambia ni kwamba...hata wanawake wanauhuru wa kuchagua sio wewe uwawekee vigezo na wakati vya kwako hujaweka... BE SERIOUS meeen..!
unavoongea tu unaonekana sharobaro.
 
nenda face book ndo kuna mambo hayo,hapa ni kwa great thnkr,sahau kupata mchuchu humu.hapa unapata maushauri tu,no malavidav,no ngwanju,kama uko sros unatafuta kaajinge na kwaya kanisan kwen itakuwa easy sana kupata mchumba
 
Back
Top Bottom