Naitwa Silver

MR.SILVER

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
287
79
Hello

Wananiita Silver natokea Dar es salaam Tanzania,pia huwa USA.

Nategemea manufaa toka ktk forum hii na pia kuinufaisha kwa yeyote yangu michango kwa watakao ona ina tija.

Nikimkwaza mtu ki afya ni vema akanisamehe na pia ntakubali kujisahihisha kama inafaa kufanya hivyo kama ilivyo kwenye diversity ya watu wa matabaka,mila ,desturi,imani na makuzi tofauti huenda kukatokea kupishana kimsimamo au lughachanganya.

Aksante ,

Washukrani

Silver
 
Intro imetulia,mie mgeni hapa mjini.Utanionyesha mnitaa.
 
Nashukuru wote mlionikaribisha kwa moyo mkunjufu ...najihisi mwenyeji already.Basi tusemezane na ili wenye kufa mioyo wapate faraja, wenye ufahamu mkubwa kuhusu jambo fulani nawaonge wenye kujifunza na tujifuze,wenye viburi waonywe na kukubali discipline na mengine mengi mema ambayo mijadala will bring.

Washukrani

Mr.Silver
 
Back
Top Bottom