Naitamani nafasi ya Shy-rose NMB

steering

Member
Nov 28, 2011
71
12
Kwa sasa ni mbunge katika bunge la afrika mashariki....ameingia kwenye siasa. Kwa kuwa benki ile ina mkono wa serikali kwa asilimia kadhaa, je, ameshaacha kazi kama meneja mawasiliano wa nmb?
Kama ndivyo, kwa nini mchakato wa kutangaza hiyo nafasi hauko wazi
..
Kwa kuwa bado sijasikia popote, naamini kwamba bado anashikilia nafasi hiyo ambayo nami naitamani....
 
Pole sana hapa tunajadili siasa! Lowasa anataman nafasi ya Dhaifu!
 
Back
Top Bottom