naitaji mume wa kuoa ASP

Hahahaaa! Nina my brooo, yupo divorced recently, very nice guy!!!! Ila bahili sana, pesa ya chakula na matumizi ya ndani utapata ila mbesa ya kuchop chop sahau!!!!!!!!!!!
 
sifa zake
umri wowote
awe na hela za kutosha na maisha mazuri.gari ,nyumba.familia bora nk
ndoa tutafunga ndani ya wiki moja
awe HIV NEGATIVE NAOGOPA UKIMWI KULIKO CHOCHOTE
dini yoyote

sifa zangu
age.26
christian
engineer telecom company
tall ,white
partially virgin sex less than 10 times
Unadhalilisha hiyo Taaluma
 
Dah......hivi ningepaliwa na chakula Kaunga nani angenisaidia namie niko mwenyewe??
Umenichekesha sana na hayo maneno yako! lol

Wasn't my intention upaliwe, ila kukuchekesha ndicho nilichopania.

Ila seriously, umedo more than 3 times halafu unasema partialy virgin.
 
Last edited by a moderator:
Mbona mie ni mpya kabisa kabisa nna makaratasi yale ya kupasua tusuuu kama ya camera? (paw akisoma hapa leo nalazwa nje)

Looks like ulikuwa unapenda kuyapasua kama mimi; this is the 2nd post nimekutana nayo unayataja. I guess now utakuwa unanyang'ana na kid wako. LOL
 
sifa zake
umri wowote
awe na hela za kutosha na maisha mazuri.gari ,nyumba.familia bora nk
ndoa tutafunga ndani ya wiki moja
awe HIV NEGATIVE NAOGOPA UKIMWI KULIKO CHOCHOTE
dini yoyote

sifa zangu
age.26
christian
engineer telecom company
tall ,white
partially virgin sex less than 10 times[/QUOTE]

Kumbe kunakuwaga na partially virginity!
 
hivi huyo atakayeoa mke mwenye vigezo kamahivi.atakua anategemea nini?au atakua kapenda nini kwahuyo mke?nimesoma vigezo imibidi nicheke.
 
Engineer mzima unakua na uwezo mdogo wa kufikiri namna hiyo? Utampata huyo zoba wako! Na nna wasiwasi hata hizo "less than 10 times" unaziongelea ni za maprofesa wako a.k.a digrii zile za DC Gumbo

Siku hizi kuna bikra nyingi,awe muwazi. Digri za chupi kibao matokeo ndi haya ya kujidhalilisha ktk mtandao.
 
:A S-rap::msela::hail::deadhorse: nafakari huyu kilaza sijui kawaza nini tu? upo kampuni gani........ na unafanya kazi kama nani?.:A S tongue:
 
Mimi ni mtamu kama jina langu na uwezo wangu ni zaidi ya happo ebu nitafute.
 
sifa zake
umri wowote
awe na hela za kutosha na maisha mazuri.gari ,nyumba.familia bora nk
ndoa tutafunga ndani ya wiki moja
awe HIV NEGATIVE NAOGOPA UKIMWI KULIKO CHOCHOTE
dini yoyote

sifa zangu
age.26
christian
engineer telecom company
tall ,white
partially virgin sex less than 10 times
Hahahahaaa, nilitaka kupita tu hapa lakini nikasoma bahati mbaya nikacheka kwa nguvu. Afadhali niko room alone maana kama kungekuwa na mtu humu angenishangaa! Kha, haya mama kila la kheri...........ngoma imetembea less than 100km asee!
 
Wasn't my intention upaliwe, ila kukuchekesha ndicho nilichopania.

Ila seriously, umedo more than 3 times halafu unasema partialy virgin.

Lugha za ukaribisho hizo......mi niliona nikaishia kuguna tu!!

Ila kusema kweli umefanikiwa kunichekesha lol!!
 
Lol, friday niliingia ofisi moja. Nimekaa visitor chair, ya mbele yangu naiona ina makaratasi miguuni. Si nikaanza kuyatusua na miguu. Mwenyeji alipotoka nikainamia kabisa! Nikinunua something nikayakuta ndani, nakunja naweka pembeni. Natupa makaratasi na matakataka. Naoga kabisa, nikipanda kochini natusua huku naangalia tv. Ni aina ya kichaa nadhani, dr Kongosho atanisaidia. Lol
Looks like ulikuwa unapenda kuyapasua kama mimi; this is the 2nd post nimekutana nayo unayataja. I guess now utakuwa unanyang'ana na kid wako. LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom