njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,084
- 8,664
Ni ujinga kufanya hiyo ndagu kwa mechi 30 za TFF ambapo mwisho wa msimu unapata millions 500 wakati leo ukiifanya hapo Khartoum unaingia makundi na kujipatia billion 1.2.
Ule mtindo wa kutembelea vituo yatima msiogope wandugu, ipigeni leo mkitua hapo mchana. Wahi supermarket kanunueni mazagazaga, Mwamnyeto akae mbele kabisa kabeba magunia ya sukari na mchele baada ya hapo mkapumzike hotelini. Maneno ya kunuizia mnayofanyaga kwa hao yatima mnayajua wenyewe.
Ramani hii hapa, vituo vikubwa ni viwili MYGOMA Orphanage na SOS Children Village Khartoum.