Naipenda sauti ya huyu mtangazaji.

Tiger

JF-Expert Member
Nov 30, 2007
1,747
386
Naomba anayeweza kuweka picha ya mtangaziji huyu wa Clouds fm-power breakfast Barbra Hasan, aiweke tafadhari.
Kama nimekukera nipotezee.
 
kumbe ndo huyo??
274722_639986681_2135285033_n.jpg
 
Kumbe mbaya namna hii, kwanza nilifikiri ni kabinti kadogo kadogo, kumbe Jimama!!
 
maranyingi wanawake wenye saut kama yake huwa mabonge mfano Qsk wa eatv
 
Back
Top Bottom