Naibu waziri wa mali asili na utalii hatihati kugaragazwa NEC singida vijijini

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
987
Ni yule aliewahi kusema kuwa wamarekani wanataka yeye awe rais wa tanzania.katika uchaguzi unaoendelea hivi sasa amekabwa kooni na kijana mdogo maskini wa kitanzania deo daffi. Nyalandu anamwaga shilingi kunusuru asiangukie pua baada ya mawaziri wenzake kugaragazwa akiwemo makongoro mahanga huko ilala.
 
wamarekani wanataka yeye awe rais wa tanzania.katika uchaguzi unaoendelea hivi sasa amekabwa kooni na kijana mdogo maskini wa kitanzania deo daffi. Nyalandu anamwaga shilingi kunusuru asiangukie pua baada ya mawaziri wenzake kugaragazwa akiwemo makongoro mahanga huko ilala.[/QUOTE]

:A S 465:Akianguka aende kugombea Masrekani, singida wapigie kura hitaji la Marekani? Kwenye demokrasia ya kweli hamna udogo wala umaskini, Ni dhamira tu mtu anashinda. Hiyo ya kumwaga shilingi nalo laweza kuwa kweli ama si kweli, kwenye uongozi kuna kuchafuana. Kama ni kweli hayo sio maadili ya kiongozi anayetaka kuwatumikia wananchi.:poa
:A S embarassed:
 
Nyalandu ni Raia wa Marekani, baada ya kuukana Utanzania wake alipokuwa masomoni. CCM bana, tusubili Obama akishindwa Urais 2012, CCM wanaweza kumuomba wamsimamishe 2015. Bora ushindi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom